Mbowe: Kazi ya upinzani nchi hii ni kazi ya maumivu

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amedai kuwa mpinzani kwenye nchi ni kazi ya maumivu sana kwa kuwa hoja za upinzani hazijawahi kuheshimiwa na watu wanauawa na kupigwa mabomu na bajeti zinazopitishwa huwa zinafumuliwa.

Maumivu ya mbowe yanauma hasa anapoona rais anafanya yale wengi wanapenda.
Mbowe anajiuliza 2020 watakuja na ajenda gani hasa ya kuikosoa CCM?
Hii ni kazi nguvu kwa upinzani 2015-2020.
 
Maumivu ya mbowe yanauma hasa anapoona rais anafanya yale wengi wanapenda.
Mbowe anajiuliza 2020 watakuja na ajenda gani hasa ya kuikosoa ccm?

Pia kashindwa kuongoza chama. Watu wanaelimu kumzidi. waliyemchukuwa kwa ajili ya kuzomea anaelimu kumzidi na yumo mle kwa ajili ya kuzomea tu. Sasa anafikiria namna ya kuibadili hiyo mifurushi ili ianze kufuata kanuni anashindwa aanzeje.
Vile vile anajuta kutoa kauli inayomtafuna na anaogopa kubadili gia angani. Labda nimshauri ampigie simu Mh Kinana au Mh Kikwete ili wamshauri Naibu spika apunguze maumivu. Mtu mzima anaadhirika kwani Mwanamke wa shoka kamshika pabaya.
 
Ishu inakuja kueleweka pale wanapotemwa CCM na kuhamia upinzani ndiyo wanaanza kuelewa, kwa mfano kitwanga akija upinzani atamuelewa vizuri mh. Mbowe na masha
 
Maumivu ya mbowe yanauma hasa anapoona rais anafanya yale wengi wanapenda.
Mbowe anajiuliza 2020 watakuja na ajenda gani hasa ya kuikosoa ccm?
Hii ni kazi nguvu kwa upinzani 2015-2020.
Unapenda kukosa sukari?
Unafurahishwa na wanachuo kugeuka ombaomba?
Unapenda viongozi serikalini kufanya kazi kwa hofu badala ya ufanisi?
Unapenda kuwaona wabunge wote wa CCM wakitetea chama badala ya wananchi?
Una uhakika gani wananchi hawataki bunge liwe live?

You need FIRST AID
 
Pia kashindwa kuongoza chama. Watu wanaelimu kumzidi. Kahaba tu waliyemchukuwa kwa ajili ya kuzomea anaelimu kumzidi na yumo mle kwa ajili ya kuzomea tu. Sasa anafikiria namna ya kuibadili hiyo mifurushi ili ianze kufuata kanuni anashindwa aanzeje.
Vile vile anajuta kutoa kauli inayomtafuna na anaogopa kubadili gia angani. Labda nimshauri ampigie simu Mh Kinana au Mh Kikwete ili wamshauri Naibu spika apunguze maumivu. Mtu mzima anaadhirika kwani Mwanamke wa shoka kamshika pabaya.
lete vyeti vya Kinana hapa lete vyeti vya ole sendeka, Naibu Spika hana maumivu yeyote bali kaanza wenzake watamalizia hajashindwa kuongoza chama, mbona CCM mmeshindwa kuitisha mkutano mkuu kisa pesa hakuna? Mlitaka kuchukua pesa hazina kwa Ajili ya mkutano wa CCM Magufuli kaogopa ukawa watalalamika ujue wewe una mtizamo wako lakini wenzao CCM wanawaogopa UKAWA ndiyo maana kutwa wanabuni mbinu za kuwadhoofisha, wapo wajanja huko CCM wameandaa bajeti kwa Ajili ya kuwahujumu ukawa ili wamlinde Lugumi na Ufisadi wake, mabehewa Feki ya Mwakyembe na ufisadi mwingineo kibao.
 
Unapenda kukosa sukari?
Unafurahishwa na wanachuo kugeuka ombaomba?
Unapenda viongozi serikalini kufanya kazi kwa hofu badala ya ufanisi?
Unapenda kuwaona wabunge wote wa ccom wakitetea chama badala ya wananchi?
Una uhakika gani wananchi hawataki bunge liwe live?

You need FIRST AID
Bunge live pesa ya kulipia ilikuwa haifiki TBC ilikuwa ikipigwa juu kwa juu , wakabuni mbinu ya kuwachanganya Watanzania ili wapate kufukia mashimo na Majipu kwanza ndipo waje na live aina ingine isiyo na ufisadi.
 
Kuna siku wanaompongeza Tulia leo kesho watamning'iniza.Tulia haijui Chama Cha Majangili.Asubiri.Kama alikuwa amesimama aangalie asianguke maana naona utelezi
 
Wizara ya Ujenzi bajeti yake ya 2015/2016 ilikuwa ni shilingi 191 billion lakini dikteta mwenye sera za kukurupuka katoa amri pesa toka wizara nyingine zipelekwe Ujenzi sijui kuna mikataba yake aliyoingia kule kabla hajawa Rais. Mpaka sasa wizara hiyo imeshapokea shilingi bilioni 600 ukilinganisha na kile ilichopangiwa cha bilioni 191. Hii si sawa hata kidogo kwa Rais wa nchi kudharau kazi ya Wabunge ya kupanga bajeti na yeye kuamrisha shilingi 409 billion zaidi ya kiwango kilichopitishwa bungeni kipelekwe Ujenzi. Hii ni moja ya dalili za udikteta na kutoheshimu maamuzi ya Wabunge.
 
Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amedai kuwa mpinzani kwenye nchi ni kazi ya maumivu sana kwa kuwa hoja za upinzani hazijawahi kuheshimiwa na watu wanauawa na kupigwa mabomu na bajeti zinazopitishwa huwa zinafumuliwa.

Hakika Dr Tulia ni kiboko hadi nimemuonea huruma Mbowe aiseee
 
lete vyeti vya Kinana hapa lete vyeti vya ole sendeka, Naibu Spika hana maumivu yeyote bali kaanza wenzake watamalizia hajashindwa kuongoza chama, mbona ccm mmeshindwa kuitisha mkutano mkuu kisa pesa hakuna? Mlitaka kuchukua pesa hazina kwa Ajili ya mkutano wa ccm Magufuli kaogopa ukawa watalalamika ujue wewe una mtizamo wako lakini wenzao ccm wanawaogopa Ukawa ndiyo maana kutwa wanabuni mbinu za kuwadhoofisha, wapo wajanja huko ccm wameandaa bajeti kwa Ajili ya kuwahujumu ukawa ili wamlinde Lugumi na Ufisadi wake, mabehewa Feki ya Mwakyembe na ufisadi mwingineo kibao.
Mbona yamekutoka mengi na hayana mtiririko wa kueleweka. Hebu leta cheti chako kwanza kabla ya hao uliowataja. Kama chama lazima kiangalie bajeti yake ili kifanye swala la mkutano mkuu hakuna wa kuwapangia zaidi ya wao wenyewe. Zingatia chama kimetoka kufanya kampeni za kisayansi na kupata ushindi wa kishindo. Ukiwa na akili huwezi kuuliza kwani kila kitu kipo wazi.
Naibu spika ni Mwanamke washoka aliyefanikiwa kumuweka nje Mbowe na wenzake. Sasa wanaishi kama panya wakisubiri mbabe Dr Tulia atoke ndani ya bunge ili waingie. Aibu sana.
 
Maumivu ya mbowe yanauma hasa anapoona rais anafanya yale wengi wanapenda.
Mbowe anajiuliza 2020 watakuja na ajenda gani hasa ya kuikosoa ccm?
Hii ni kazi nguvu kwa upinzani 2015-2020.
Acha kujidanganya kijana jitambue hiyo serikali inakoelekea ni kubaya kuliko ilikotoke wait and see usitegemee miujiza !!!
 
Pia kashindwa kuongoza chama. Watu wanaelimu kumzidi. Kahaba tu waliyemchukuwa kwa ajili ya kuzomea anaelimu kumzidi na yumo mle kwa ajili ya kuzomea tu. Sasa anafikiria namna ya kuibadili hiyo mifurushi ili ianze kufuata kanuni anashindwa aanzeje.
Vile vile anajuta kutoa kauli inayomtafuna na anaogopa kubadili gia angani. Labda nimshauri ampigie simu Mh Kinana au Mh Kikwete ili wamshauri Naibu spika apunguze maumivu. Mtu mzima anaadhirika kwani Mwanamke wa shoka kamshika pabaya.
khaa sijawai kuona serikali isiyotaka kukosolewa na watu kama hawa eti wanatetea na ndo wanaopelekwa kwenye uchumi wa kati kwa upeo huu mh!!!! hahaha sikio la kufa hahahahaha msije mkakumbuka shuka kumekucha.
 
Pia kashindwa kuongoza chama. Watu wanaelimu kumzidi. Kahaba tu waliyemchukuwa kwa ajili ya kuzomea anaelimu kumzidi na yumo mle kwa ajili ya kuzomea tu. Sasa anafikiria namna ya kuibadili hiyo mifurushi ili ianze kufuata kanuni anashindwa aanzeje.
Vile vile anajuta kutoa kauli inayomtafuna na anaogopa kubadili gia angani. Labda nimshauri ampigie simu Mh Kinana au Mh Kikwete ili wamshauri Naibu spika apunguze maumivu. Mtu mzima anaadhirika kwani Mwanamke wa shoka kamshika pabaya.
Huna hadhi ya Mbowe kaa kimya
 
Wizara ya Ujenzi bajeti yake ya 2015/2016 ilikuwa ni shilingi 191 billion lakini dikteta mwenye sera za kukurupuka katoa amri pesa toka wizara nyingine zipelekwe Ujenzi sijui kuna mikataba yake aliyoingia kule kabla hajawa Rais. Mpaka sasa wizara hiyo imeshapokea shilingi bilioni 600 ukilinganisha na kile ilichopangiwa cha bilioni 191. Hii si sawa hata kidogo kwa Rais wa nchi kudharau kazi ya Wabunge ya kupanga bajeti na yeye kuamrisha shilingi 409 billion zaidi ya kiwango kilichopitishwa bungeni kipelekwe Ujenzi. Hii ni moja ya dalili za udikteta na kutoheshimu maamuzi ya Wabunge.
maadam anazitafuta mwenyewe mwache atumie anavyotaka si anao washauri. ili mradi pesa haipotelei mifukoni. tunamwamini sana Magufuli kwa hili. na anafanya yote hayo kwa faida ya wananchi sio faida binafsi. si afadhali yeye, je huyu mwingine aliyekuwa mgombea unadhani hata kazi ingeonekana inayofanyika? ? tungeishiwa kupigwa changa la macho tu
 
Nchi haiendeshwi hivyo, Rais pamoja na mamlaka makubwa aliyokuwa nayo kama kiongozi wa nchi hawezi akawa anakurupuka tu na kuhamisha pesa kienyeji na kulidharau bunge ambalo ndiyo linahusika na upangaji wa bajeti nchini. Kuna faida gani basi ya kuwa na Bunge wakati Rais haliheshimu Bunge na anaweza kufanya vyovyote vile kinyume na maamuzi ya Bunge? Udikteta utamkwamisha huyu. Ni nani aliyekwambia Rais anazitafuta pesa mwenyewe? Anazitafuta toka wapi na kaanza lini kuzitafuta?

maadam anazitafuta mwenyewe mwache atumie anavyotaka si anao washauri. ili mradi pesa haipotelei mifukoni. tunamwamini sana Magufuli kwa hili. na anafanya yote hayo kwa faida ya wananchi sio faida binafsi. si afadhali yeye, je huyu mwingine aliyekuwa mgombea unadhani hata kazi ingeonekana inayofanyika? ? tungeishiwa kupigwa changa la macho tu
 
Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amedai kuwa mpinzani kwenye nchi ni kazi ya maumivu sana kwa kuwa hoja za upinzani hazijawahi kuheshimiwa na watu wanauawa na kupigwa mabomu na bajeti zinazopitishwa huwa zinafumuliwa.

jk aliwadekeza sana hawa jamaaa matokeo yake wakamdharau na kumtukana , hata na HIVYO alipopokea zile 5b aliona rahisi sana
 
Back
Top Bottom