Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
Mbowe ni pandikizi la CCM!Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020,
Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia mkuu anaye tegemewa kwa Sasa hayupo nchini na inawezekana muda ukafika na ikashindikana kuingia nchini kutokana na kuhofia usalama wake,ikitokea hivyo maana yake chama kitakuwa hakijajiandaa kuwa na mtu imara,kwa hiyo kuwepo kwa watangaza nia Kama Freeman na Nyalandu ni maandalizi mazuri ya kufikia October,Nina imani kuwa siku lisu akiingia hapa nchini salama Mbowe atajitoa kiroho Safi,hofu ipo kwa Lisuuuuu atarejea na usalama wake utakuwaje?hawa wanaomnanga Mbowe humu ni hofu tu walifikiri chama kimekufa.
CDM wana strategy kali sana wee subiri utaona, unafikiri Mbowe anafanya mamboa bila akili? Yajayo mtafurahi.Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020,
Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia mkuu anaye tegemewa kwa Sasa hayupo nchini na inawezekana muda ukafika na ikashindikana kuingia nchini kutokana na kuhofia usalama wake,ikitokea hivyo maana yake chama kitakuwa hakijajiandaa kuwa na mtu imara,kwa hiyo kuwepo kwa watangaza nia Kama Freeman na Nyalandu ni maandalizi mazuri ya kufikia October,Nina imani kuwa siku lisu akiingia hapa nchini salama Mbowe atajitoa kiroho Safi,hofu ipo kwa Lisuuuuu atarejea na usalama wake utakuwaje?hawa wanaomnanga Mbowe humu ni hofu tu walifikiri chama kimekufa.
Mbowe ni pandikizi la CCM!
Khaaaaaa, yani unadai CHADEMA wana akili? Kweli DJ Gambe kawawezaCDM wana strategy kali sana wee subiri utaona, unafikiri Mbowe anafanya mamboa bila akili? Yajayo mtafurahi.
Kila kitu ni kama lakini kubwa ni kuangalia unalijazaje tumbo na kulinda maslahi yako!Kuna kipindi huwa nawaza hivi.
Binafsi sijawahi kuamini mfanyabiashara mkuu kuwa mwanasiasa mtetezi wa wanyonge.
Wewe fikiri mtu mmoja tu, lakini majeshi yote ya ulinzi, polisi, bunge, usalama wa taifa, na kikundi kutoka chattle hawalali, kweli Mbowe komando.Khaaaaaa, yani unadai CHADEMA wana akili? Kweli DJ Gambe kawaweza
Yaani bangi zinawaharibu sana, Mbowe angekuwa anatafutwa si angefyatuliwa kiuno tu dk 0.Wewe fikiri mtu mmoja tu, lakini majeshi yote ya ulinzi, polisi, bunge, usalama wa taifa, na kikundi kutoka chattle hawalali, kweli Mbowe komando.
Kwani hajavunjwa mguu na watu flani wa chattle?Yaani bangi zinawaharibu sana, Mbowe angekuwa anatafutwa si angefyatuliwa kiuno tu dk 0.
Kwani hajavunjwa mguu na watu flani wa chattle?
Ungesoma post yote na kuilewa usingeuliza hili swali.Acha kupiga ramli, kwanini ajitoe..!
Ungesoma post yote na kuilewa usingeuliza hili swali.
Kwa sababu Kuna jembe zaidi yakeNimesoma, nimeelewa... nikauliza kwanini ajitoe.? Jibu!
Kwa sababu Kuna jembe zaidi yake
Bangi na Gambe ndo vimemtelezeshaKwani hajavunjwa mguu na watu flani wa chattle?