Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Weka picha weweNi suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase.
Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu!
Maadui hawapendezwi na harakati mpya za kupinga na ushirika na wakosoaji wa bwana mkubwa. Mikakati imeshapangwa na imepangika. Ni umakini pekee ndiyo utafanya mwamba aweze kujinasua.
Na awamu hii mwamba akinasa, hiyo kurejea ni hadi 2026 huko ili kipindi cha kati hapa kusiwepo na usumbufu kwa wakuu kuipita njia ile iendayo pale Kaanani 2025.
Akili mkichwa, nilikuwepo.
Unamkosea mleta mada. Kwa nilivyomuelewa mimi ni kama anamsanua ili awe makini.Umeandika kana kwamba ni kitu unachofurahia wenzako kupata mahangaiko.
Iwe kukaa jela/sero au kuumizwa na mambo ya wengine yote ni mahangaiko
Kifupi maisha bila mahangaiko hayana utimilifu.
Chapa virungu wazushi mbowe na genge lakeNi suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase.
Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu!
Maadui hawapendezwi na harakati mpya za kupinga na ushirika na wakosoaji wa bwana mkubwa. Mikakati imeshapangwa na imepangika. Ni umakini pekee ndiyo utafanya mwamba aweze kujinasua.
Na awamu hii mwamba akinasa, hiyo kurejea ni hadi 2026 huko ili kipindi cha kati hapa kusiwepo na usumbufu kwa wakuu kuipita njia ile iendayo pale Kaanani 2025.
Akili mkichwa, nilikuwepo.
Mara nyingi Suzy Elias habahatishagi na huenda upo ukweli.Jela wamejengewa Wanaume wa Ukweli - Nelson Mandela
Wafuasi wa mwendazake siku hizi wanaitakia Chadema mazuri?Unamkosea mleta mada. Kwa nilivyomuelewa mimi ni kama anamsanua ili awe makini.
Wewe vuvuzela kazi Yako ni kudeki nyumba za wanaume ππJela wamejengewa Wanaume wa Ukweli - Nelson Mandela
Wewe unadeki kwa Waburushi wa Rujewa( waarabu pori)ππWewe vuvuzela kazi Yako ni kudeki nyumba za wanaume ππ
Pamoja na hayo,kwa nini umtambulishe mtu kwa jina la "Chiba"?Ni suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase.
Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu!
Maadui hawapendezwi na harakati mpya za kupinga na ushirika na wakosoaji wa bwana mkubwa. Mikakati imeshapangwa na imepangika. Ni umakini pekee ndiyo utafanya mwamba aweze kujinasua.
Na awamu hii mwamba akinasa, hiyo kurejea ni hadi 2026 huko ili kipindi cha kati hapa kusiwepo na usumbufu kwa wakuu kuipita njia ile iendayo pale Kaanani 2025.
Akili mkichwa, nilikuwepo.
Hao Wana pesa Sasa hao maskini unaowadekia wanakusaidia nini zaidi ya kukupelekea moto? π€£πWewe unadeki kwa Waburushi wa Rujewa( waarabu pori)ππ
Kwahiyo wewe na uislam wako ukionyeshwa pesa tu unachanuaπππ₯Hao Wana pesa Sasa hao maskini unaowadekia wanakusaidia nini zaidi ya kukupelekea moto? π€£π
Mimi sio Muislamu,Njombe Kuna Waislamu? Ila nawakubali Waislamu maana Huwa wanaleta Neema na wanajali Haki,hao wengine ni wapuuzi na Huwa sitaki kabisa wawe Wanaongoza Nchi.Kwahiyo wewe na uislam wako ukionyeshwa pesa tu unachanuaπππ₯
Yule Hamza wa Salender bridge angekufyekelea mbali we msafwa!
Kwani tabia za waarabu si zinajulikana, ngoja waendelee kukutanua marindaHao Wana pesa Sasa hao maskini unaowadekia wanakusaidia nini zaidi ya kukupelekea moto? [emoji1787][emoji38]
Bora utanuliwe marinda na pesa upate kuliko kutanuliwa Malinda ukaambulia kuitwa Mzalendo ππKwani tabia za waarabu si zinajulikana, ngoja waendelee kukutanua marinda