Acha uongo, kawachosha ccm na si wapinzani. Bado anahitajika sana.tumeshasema tunamtaka Mbowe ajiuzuru chondechonde utaua chama.tumeshakuchoka umesha tujeruhi vya kutosha sana. ni wakati muafaka ukatafuta ustarabu wako kabla nguvu ya umma haijatumika.
tunataka uongozi mpya
wewe inaonyesha ni mke.tumeshasema tunamtaka Mbowe ajiuzuru chondechonde utaua chama.tumeshakuchoka umesha tujeruhi vya kutosha sana. ni wakati muafaka ukatafuta ustarabu wako kabla nguvu ya umma haijatumika.
tunataka uongozi mpya
Nilidhani baada ya kushutumu umetoa suluhisho kumbe nawe leo Buku 7 haipatikani kirahisi. Thread zako ngapi wiki hii zimelipiwa buku 7?Matamko yanayotolewa hayana tija kwa upinzani. Hatuwezi kuwa wapinzani wa kulalamika kila siku
okkk unasema bado anahitajika upinzani iliAcha uongo, kawachosha ccm na si wapinzani. Bado anahitajika sana.
wherever ! mme, mke wote ni human beings. wote wameumbwa na Munguwewe inaonyesha ni mke.
swissme
sasa kama wewe ni mke wake na umemiss kwa hiyo unataka apumzike ili uwe naye?wherever ! mme, mke wote ni human beings. wote wameumbwa na Mungu
Sivyo ufikiriapo, yeye kwanza tofauti na uenyekiti ni mfadhili wa chama, pili hakuna fisadi aliye tetwa chadema mafidi wapo ccm majibu yote asilimia 100% waliotumbuliwa ni wana ccm. Yule mliyekuwa mnamzuiya asigombee uraisi kwa kumwita fisadi alishasema Mwenye ushaidi ampeleke mahakamani na nyie mpaka leo hamjamchukulia hatua yoyote. Pili mbowe anafuata taratibu za chama na katiba yake. Ikifikia uchaguzi utafanyika na akishindwa ataachia. Hii ndiyo demokrasia na si siasa za longolongo, fitina, chuki na majungu kama ccm.okkk unasema bado anahitajika upinzani ili
1) aendelee kuleta mafisadi na kuyasafisha
2) ili apate dili la kupata mchongo wa pesa
3) aendelee kujistawisha yeye mwenyewe kwa kutumia migongo ya masikini hawa watanzania. kwa sababu katika hali ya kawaida haiwezekani ujio wa kundi la mafisadi ukafanya viongozi waliotukuka kama Dr Slaa wakatimka. Mbowe na group lake dhambi hii ni lazima waibebe wao kwa mikono yao. haitasahaulika