Ukweli ni kuwa pesa za chama zinaingia kwenye account binafsi ya Mbowe, na kuna upendeleo kwenye kupata wawakilishi i.e wabunge nk. Kuna fedha chafu zimeingizwa cdm, huo ndio ukweli kama umejikita kwenye ukweli. Matusi na kejeli ni mambo madogo ambayo yako kote na hayakwepeki. Mbowe akae pembeni ameshakaa kwenye nafasi hiyo muda mrefu asitafute kupata aibu.Kwa nini nyie Machadema Baadhi yenu hamtaki ukweli?
Ungesema hayo ndio madhara ya kulea watukanaji na waropokaji ila wasio na hoja
Chadema Hadi Leo hii Haina wahasibu? Inamaana CAG Huwa haoni huu ufisadi Ili waifute hii saccos?Ukweli ni kuwa pesa za chama zinaingia kwenye account binafsi ya Mbowe, na kuna upendeleo kwenye kupata wawakilishi i.e wabunge nk. Kuna fedha chafu zimeingizwa cdm, huo ndio ukweli kama umejikita kwenye ukweli. Matusi na kejeli ni mambo madogo ambayo yako kote na hayakwepeki. Mbowe akae pembeni ameshakaa kwenye nafasi hiyo muda mrefu asitafute kupata aibu.
CAG akiamua kufuta vyama vinavyochezea kodi za watanzania, ataanza na ccm na taasisi za serekali.Chadema Hadi Leo hii Haina wahasibu? Inamaana CAG Huwa haoni huu ufisadi Ili waifute hii saccos?
Majizi makubwa wa Kodi (ruzuku) za Wananchi nyie.
Chama la majizi ππCAG akiamua kufuta vyama vinavyochezea kodi za watanzania, ataanza na ccm na taasisi za serekali.
π¨π¨π¨ππMbowe kamtaja Lissu, au ndiyo unaona ipendeze jukwaa?
Vipi, Mbowe hakusema lolote kuhusu CCM; hasa uchafuzi wa hivi karibuni? Naona Mbowe sasa anawakoga roho CCM pakubwa sana!
Inasikitisha aisee! Kwa muda mrefu nilikuwa nadhani tuhuma kuwa mtu akitaka kujua rangi ya Mbowe agombee uenyekiti ni uwongo . Lkn Sasa ni dhahiri kuna ukweli 100%Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani muda mrefu hadi zitumike njia zote kukutoa. Ni kipi Mbowe hajafanya kwenye hii miaka 20, hadi itumike nguvu kubwa kumfanya akae pembeni? Asome alama za nyakati, wakati ukuta.
Sikujuwa kuwa huyo aliye vaa jezi ya CCM ndiye msemaji siku hizi huko ndani ya chama cha CCM.
ππππ¨π¨π¨ππSikujuwa kuwa huyo aliye vaa jezi ya CCM ndiye msemaji siku hizi huko ndani ya chama cha CCM.
Kwa hiyo matumaini yenu makubwa mmewekeza kwenye watu kama hawa kuimaliza CHADEMA?
ππππ¨π¨ππInasikitisha aisee! Kwa muda mrefu nilikuwa nadhani tuhuma kuwa mtu akitaka kujua rangi ya Mbowe agombee uenyekiti ni uwongo . Lkn Sasa ni dhahiri kuna ukweli 100%
Choice viclip hivi sii vyakupikwa kweli?Kwani jitihada zenu ni kukihujumu chama hiko bora zaidi Tanzania.Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868359711134974176?t=PcHsXqsk7FNMPtyuUrK8dQ&s=19
My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1868369429005730122?t=09RhiKEd3hlxybuDotzlBQ&s=19
Tunafurahia Machadema yanavyoumbuana na kutaka Kuuana.Choice viclip hivi sii vyakupikwa kweli?Kwani jitihada zenu ni kukihujumu chama hiko bora zaidi Tanzania.
Hizi ndizo kazi unazo ziweza wewe; kutafuta mabandiko yanayo kufurahisha wewe hata bila kupima uzito wake katika jambo husika.ππππ¨π¨π¨ππ
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868628965872558297?t=2ndOINDHStLh6kTOWf0oaQ&s=19
πππππππChoice viclip hivi sii vyakupikwa kweli?Kwani jitihada zenu ni kukihujumu chama hiko bora zaidi Tanzania.
Na mtag Erythrocytes/Mmawia.Mtag Mbowe