Mbowe: Hatutavumilia Tabia za Kuchafuana

Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake
Mbowe kamtaja Lissu, au ndiyo unaona ipendeze jukwaa?

Vipi, Mbowe hakusema lolote kuhusu CCM; hasa uchafuzi wa hivi karibuni? Naona Mbowe sasa anawakoga roho CCM pakubwa sana!
 
Katika matamshi ya Lissu sikuwahi kusikia akimtaja mbowe jina kwa ubaya! Lissu anajaribu kueleza mabaya tu yaliyotokea katika chama kwa muda mrefu hajaangaliwa ili kupewa ufumbuzi.
 
Ndio ushangae sasa, adui anakuchagulia Mwenyekt!
Ni dhahiri ma ccn yanamhara sana TL na CHADEMA nitaichukia milele ikibaki na Mbowe badala ya Lissu.
Kwani unaisaidia nini, umechelewa, anza leo. Wewe unadhani Chadema inakufahamu?
 
Katika matamshi ya Lissu sikuwahi kusikia akimtaja mbowe jina kwa ubaya! Lissu anajaribu kueleza mabaya tu yaliyotokea katika chama kwa muda mrefu hajaangaliwa ili kupewa ufumbuzi.
Yeye Mbowe kamtaja Lissu? Mbona unajistukia.
 
Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani muda mrefu hadi zitumike njia zote kukutoa. Ni kipi Mbowe hajafanya kwenye hii miaka 20, hadi itumike nguvu kubwa kumfanya akae pembeni? Asome alama za nyakati, wakati ukuta.
Kwa nini nyie Machadema Baadhi yenu hamtaki ukweli?

Ungesema hayo ndio madhara ya kulea watukanaji na waropokaji ila wasio na hoja
 
Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan

Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Tunafurahia Machadema yakivurugana.
Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan

Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Pia tulikuwaga upande wa Sugu lakini Msigwa Yuko upande gani? Machadomo hamnaga akili.
 
Mbowe kamtaja Lissu, au ndiyo unaona ipendeze jukwaa?

Vipi, Mbowe hakusema lolote kuhusu CCM; hasa uchafuzi wa hivi karibuni? Naona Mbowe sasa anawakoga roho CCM pakubwa sana!
Kwani aliyekuwa anamkashifu mgembea mwenzie ni nani kama sio Lisu?
 
Katika matamshi ya Lissu sikuwahi kusikia akimtaja mbowe jina kwa ubaya! Lissu anajaribu kueleza mabaya tu yaliyotokea katika chama kwa muda mrefu hajaangaliwa ili kupewa ufumbuzi.
Hujaona akimdhalilisha kwenye mambo ya hela? Hukusikia akimdhahaki baada ya Kukamatwa? Hukuona akimnanga baada ya matokeo ya serikali za Mitaa.

Na kwenye press zote na mahojiano kote huko anamsimanga mwamba.

Mwisho kwani Kauli ya Mbowe unadhani inamlenga nani? 😁😁
 
Endeleeni kumdanganya Mbelgiji wa Amsterdam 😆😆
 
Lissu hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…