ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,529
- 88,676
Kuna jambo,si bure....afu so unamjua Lissu hanaga kuremba🤣🤣🥴Mi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
CCM wanamuogopa sana tundulisuKuna jambo,si bure....afu so unamjua Lissu hanaga kuremba🤣🤣🥴
SanaCCM wanamuogopa sana tundulisu
Ukiona mashetani ya ccm yapo upande wako ujue kuwa wewe ni dhaifuNaunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868359711134974176?t=PcHsXqsk7FNMPtyuUrK8dQ&s=19
My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1868369429005730122?t=09RhiKEd3hlxybuDotzlBQ&s=19
Ndio ushangae sasa, adui anakuchagulia Mwenyekt!Kwa hiyo chawa wa mama umekuwa msemaji wa Mbowe ?
Cha kushangaza machawa wote wa Samia wanamshabikia Mbowe, sisi tunamtaka Lisu kwa gharama yoyote.Ndio ushangae sasa, adui anakuchagulia Mwenyekt!
Ni dhahiri ma ccn yanamhara sana TL na CHADEMA nitaichukia milele ikibaki na Mbowe badala ya Lissu.
Mambo dearKuna jambo,si bure....afu so unamjua Lissu hanaga kuremba🤣🤣🥴
Kuchafuana kwenye siasa ni kawaida toka enzi to enzi.Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868359711134974176?t=PcHsXqsk7FNMPtyuUrK8dQ&s=19
My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1868369429005730122?t=09RhiKEd3hlxybuDotzlBQ&s=19
Wewe ndiye umetafsiri kwa mtazamo wako. Maccm ghafla mumekuwa mashabiki wa Mbowe. Lissu amewashika pabaya kweli kweli.Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake.
Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka.
Bwana Lisu mara kadhaa amekuwa akimkejeli boss wake huyo bila kujali utu wake.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1868359711134974176?t=PcHsXqsk7FNMPtyuUrK8dQ&s=19
My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1868369429005730122?t=09RhiKEd3hlxybuDotzlBQ&s=19
Hii ni hofu ya maccm kwa LissuMi najiuliza kila siku mbona CCM wote mko upande wa mbowe Kuna Nini yaan
Mbowe ana masilahi gan na CCM?
Msichojua ni kuwa Mbowe anamuunga mkono Lissu. Maccm mnamuogopa saaana Lissu.Mbowe fukuza Lissu
Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani muda mrefu hadi zitumike njia zote kukutoa. Ni kipi Mbowe hajafanya kwenye hii miaka 20, hadi itumike nguvu kubwa kumfanya akae pembeni? Asome alama za nyakati, wakati ukuta.
Naona Mbowe kaambukizwa alipo kuwa huko kwenye "Mazungumzo ya Ulaghai"---, na yeye sasa anadai matumizi ya "lugha za staha"?My Take
Naona Mwenyekiti (Mwenye Chama ) ameamua kukunjua makucha.