Kesi ni uhuni mtupu.Mods please msifute huu Uzi
Shortly hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya SSH, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana Cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Raisi,na hao wasaidizi wake,na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3.kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jera au kunyongwa. Hapa ni pagumu Sana sahivi serikali ina pressure kubwa Sana kutoka ndani na nje ya nchi,, kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe,,,so wakimuhuku 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Dudumizi wewe kaendelee kuua wadudu ndo jambo pekee unaloweza,kazi ya kuongea na watu wenye akili timamu hutaiweza.Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
yaani wee umekunya akili umirudi na maviMbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
Umejibu kilevi sana.Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
mpeni kichwa tu anapata shida nyie mko nje mnampa matumaini yaliyokufa?kesi ngumu hiyo usiione ndogoMods please msifute huu Uzi
Shortly hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya SSH, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana Cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jera au kunyongwa. Hapa ni pagumu Sana sahivi serikali ina pressure kubwa Sana kutoka ndani na nje ya nchi,, kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe,,,so wakimuhuku 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Mods unganisheni hizi nyuzi za Mbowe na kesi yake zoteMods please msifute huu Uzi

Ccm ilishakufa zaman kimebaki kikundi fulani cha watu wanalinda maslai yao kwa kutumia plc mbowe atakuw huru tu na katiba mpya itapapatikanaMods please msifute huu Uzi
Shortly hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya SSH, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana Cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jera au kunyongwa. Hapa ni pagumu Sana sahivi serikali ina pressure kubwa Sana kutoka ndani na nje ya nchi,, kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe,,,so wakimuhuku 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Ni kweli hii kesi yuko kwenye ni win-win-win situation. Wamefanya makosa kumpa kesi ya Ugaidi na kuitangazia Dunia Tanzania sio nchi salama.Mods please msifute huu Uzi
Shortly hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya SSH, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana Cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jera au kunyongwa. Hapa ni pagumu Sana sahivi serikali ina pressure kubwa Sana kutoka ndani na nje ya nchi,, kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe,,,so wakimuhuku 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Taifa linapotea KWa kuwa wengi wetu ,akili zimefungiwa mwisho wa reli, alafu mwili upo sehem nyingine,Mbowe hana cha kupoteza??? Nafikiri umeandika bila kutumia akili vizur. So let me bring you to the point. Mbowe ana vingi vya kupoteza ikiwemo uenyekiti wake ambao umegharimu baadhi ya maisha ya watu akiwemo Chacha wangwe, Ben saa8 kupotea ktk mazingira ya kutatanisha kisa tu alimshauri jamaa ang'atuke ili kupisha wenye mawazo mbadala waendeshe chama kwan yey alikuwa ashaanza kupwaya katika uongozi na kutoa boko mbali mbali (kumleta Lowasa kwa malipo madogo agombee) zilizosaidia adui kupata ushindi mnono mwaka 2015, Zito kukoswa koswa kulishwa sumu. Lkn pia ataingia hasara ya kuwalipa wanasheria ili aweze kushinda kesi ambayo pengine hapo baadae hatokuja kushinda. Kuhusu hao mabeberu sahau. Hao wazungu hawawezi kumpigania mtu kama wanaona maslahi yao yapo pale pale kupitia serikali iliyopo. Kwahiyo chakupoteza anacho ndo maana kila siku watu wanapambana ili aaachiwe.
Umri wake,Kazi zake he has nothing and Nothing cha kupoteza!!..Afungwe miaka 30 yet u say he has nothing to lose?.!