SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Wote tunajua chaguo la mwenyekiti Mbowe katika ubunge eala walikuwa ni WENJE na MASHA, tena tunajua baadaye mwenyekiti akamuongeza Prof Safari ili akikosa mmojawapo wa wapendwa wake basi yeye awe substitute.
Wote tunajua wale wamama waliwekwa kwa geresha tu, lakini CCM wakaamua kuhujumu chaguo la mwenyekiti kwa kuwachagua wale GERESHA.
SASA cha kushangaza, nilimshuhudia BULAYA akiwa na wabunge kadhaa wanawake wakiwemo wa CCM wakiimba wimbo wa nderemo na vifijo kushangilia ule ushindi, huku wakisifia harakati za wanawake.
SWALI: Je wakati uchaguzi wa kwanza ulipokwamishwa kwa kigezo cha kutokuwepo mgombea mwanamke,ESTER BULAYA ulikuwa unawaunga mkono CCM na hoja hiyo??
Mh. Mbowe mchawi wako katika ule uchaguzi uliokwama umeshampata, huyu ndo ali connive with CCM members to object your favorites
kikulacho kii nguoni mwako