mohamed anasema; nyumba moja ya wazili ilikarabatiwa kwa millioni 480/- akajiuliza hiyo nyumba ni gorofa, kama gorofa ni gorofa ngapi? akaongeza tena sherehe za uhuru peke yake ziligharimu tsh billioni 56. anaomba serikali ipunguze sherehe. sherehe za nanenane ziligharimu zaidi ya billion 1, serikali na wizara zaidi ya 30 na kila wizara inafanya sherehe kila mwika. anasema hizi ni hela za walala hoi tunatumia tuache.