Unauwezo wakufikiri mdogo sana,hivi aliyetunga sheria ya ndoa ya mwaka 1971,inayosema uzinzi sio la jinai ni Mbowe au ccm?
Aliyetunga sheria,ambayo inaruhusu mtu anayeachana na mke na kuacha watoto watunzwe na mtu / ndugu mwenye uwezo tu na si mzazi( baba) ni Mbowe au ccm?
Wabunge ambao wamekuwa Mawaziri,lakini hawana waume ila wana watoto ni Mbiwe ameruhusu au ccm?
Walioruhusu uchaguzi wa wabunge na Madiwani urumie rushwa ni Mbowe au cvm?
Walioruhusu viongozi wa umma kuwa na hisa katika makampuni ni Mbowe au ccm?
Waliofuta mapendekezo ya katiba ya wananchi,iliyozuia watu wasiweke fedha nje ya nchi,wakipewa zawadi irudi serikalini ni Mbowe au ccm?
Mbowe na ccm ni watu wawili tofauti kabisa,jifunze zaidi,hakuna dhambi ambayo ccm mtaiondoa na ndio itakuwa mwisho wa chama chenu kama mtafuta rushwa,wizi na ubinafsi ndani ya ccm!
Hahahahahahahaaaaaaaaa!vipi kuhusu haya?
- Elimu
- uzalendo
- kumiliki mali
- uzinzi
- ukabila
- uwajibikaji
- utawala wa sheria
- kung'ang'ania madaraka
- ufisadi
- ufalme nk?