Mbowe akikagua miradi ya maendeleo ya Rais Magufuli jimbo la Hai

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Mwenyekit MBOWE Akikagua mirad ya maendeleo iliotekelezwa kwa Ilan ya CCM Chini ya uongozi wa DR JOHN POMBE MAGUFULI

Hongera Mbowe kwa kua mzalendo kuendelea kuwaonyesah Wana Hai jinsi Rais magufuli anavyo ijenga nchi

Pia Kama kiongoz umekua kipao mbele kutuonyesha watanzania na kututoa hofu kua hakuna Corona kwa kuamua kuto kuvaa mask Kama ishara ya ushind
Mwamba tuvushe

Sijui mwenyekit atawaambia watu Wake ni serekal gani imejenga? Hio mirad
Yani mwaka huu watu watampigia magufuli kampen wenyewe bila kupenda

IMG-20200528-WA0000.jpeg
 
Leo hajavaa gloves nyeusi
Halafu why social distance hawaizingatii..,Si ndo hao wenye takwimu halisi za #covid19 nchini
 
Dah!!! Nchi imejaa wapumbavu hii sijapata ona,yani kwa akili ya hii misukule wanafikiria kwamba magufuli anajenga nchi kwa pesa yake mwenyewe wala hii misukule hawaelewi kwamba hizo ni kodi zao, na pia hawajui magufuli tumemkabidhi kazi gani kama serikali ,na pia hawajui maendeleo yoyote yanayofanywa na serikali ni wajibu na wala si ombi.
Tena kama isitoshe hii miungu watu ambao wametusaliti kwa kukiuka makubaliano mengi tu wengi wao walistaili kuwa jela kwa kufisadi matilioni ya pesa zetu ambazo wanazitumia vibaya,mleta post rudi shule ukajifunze elimu ya uraia ndio uje tena,hapo akuna mradi wa magufuli wala ccm,pumbav.
 
Hatujakataa kua magufuli kajenga nch kwa Ila zetu za Kodi tulikua tunauliza tu mwenyekit anapinga kila kitu na siku zote amekua mpondaj Sasa najiuliza Apo atawaambia nin hao wanao mzunguka kua io mirad imejengwa na serekal Gan au atasema ni zile B8 ndio zimetumika?
Dah!!! Nchi imejaa wapumbavu hii sijapata ona,yani kwa akili ya hii misukule wanafikiria kwamba magufuli anajenga nchi kwa pesa yake mwenyewe wala hii misukule hawaelewi kwamba hizo ni kodi zao, na pia hawajui magufuli tumemkabidhi kazi gani kama serikali ,na pia hawajui maendeleo yoyote yanayofanywa na serikali ni wajibu na wala si ombi.
Tena kama isitoshe hii miungu watu ambao wametusaliti kwa kukiuka makubaliano mengi tu wengi wao walistaili kuwa jela kwa kufisadi matilioni ya pesa zetu ambazo wanazitumia vibaya,mleta post rudi shule ukajifunze elimu ya uraia ndio uje tena,hapo akuna mradi wa magufuli wala ccm,pumbav.
 
Mwenyekit MBOWE Akikagua mirad ya maendeleo iliotekelezwa kwa Ilan ya CCM Chin ya uongozi wa DR JOHN POMBE MAGUFULI

hongera mbowe kwa kua mzalendo kuendelea kuwaonyesah Wana Hai jinsi Rais magufuli anavyo ijenga nchi

Pia Kama kiongoz umekua kipao mbele kutuonyesha watanzania na kututoa hofu kua hakuna Corona kwa kuamua kuto kuvaa mask Kama ishara ya ushind
Mwamba tuvushe

Sijui mwenyekit atawaambia watu Wake ni serekal gani imejenga? Hio mirad
Yani mwaka huu watu watampigia magufuli kampen wenyewe bila kupenda

View attachment 1461578
Hii picha ya lini?
 
Back
Top Bottom