Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Dec 12, 2011 #21 Memo said: Taarifa polisi inasaidia nini kama watakaosumbuliwa hawatapewa taarifa ya usumbufu tarajiwa? hizi sheria na taratibu zisizo na maana hazitakiwi, polisi wanaotaka watu wafuate sheria wakati wao hawatimizi wajibu wao ni upuuzi. Click to expand... Still dhana ya kuwa polisi wasingetoa taarifa kwa majirani pekee, haihalalishi kwa mwengine kuvunja taratibu na sheria zilizopo.
Memo said: Taarifa polisi inasaidia nini kama watakaosumbuliwa hawatapewa taarifa ya usumbufu tarajiwa? hizi sheria na taratibu zisizo na maana hazitakiwi, polisi wanaotaka watu wafuate sheria wakati wao hawatimizi wajibu wao ni upuuzi. Click to expand... Still dhana ya kuwa polisi wasingetoa taarifa kwa majirani pekee, haihalalishi kwa mwengine kuvunja taratibu na sheria zilizopo.