Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!
Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.