Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

Kama lingekuwa ni tatizo dogo nadhani viongozi wote wakuu wa CHADEMA wasingehamia mahakamani.

Inawezekana wewe unadhani ni tatizo dogo lakini viongozi wako wakuu wana mtazamo tofauti.

hukumuelewa, aliposema ni tatizo dogo alimaanisha kuwa mh Mbowe hakushindwa kesi kwa sababu kesi haikuwepo.maombi hayakusikilizwa kwa sababu hayakufunguliwa katika mahakama husika.hizo ni technicalities za kisheria kwa hiyo haimzuii mh Mbowe kuifungua tena ktk mahakama yenye mamlaka ya kuisikiliza.
 
Mkuu;
Mimi ni hata vitabu vya sheria na langi zake sizifahamu.

Nilitumia komoni sensi tu katika kuchanganua mazingira ya kisheria.
Mkuu mbona unapotosha watu? hata mie nisiyejua sheria bado naelewa kuwa kutamka kuwa mahakama hii haina mamlaka sio kushindwa kesi na sio kuwa hoja haina mashiko. Acha kuwapotosha watu kwa mahaba yako kwa ccm au hao walio shitakiwa.
 
Hahahahaaaa,nia yake ilitimia!Mtoto mdogo ka.a Makonda hawezi muita Mbowe central kama anaita mbwa na kumuhusisha na tuhuma kubwa bila ushahidi!Mbowe alisema hawezi kwenda na kweli hajaenda mpaka leo!So its a win
 
Mkuu;
Mimi ni hata vitabu vya sheria na langi zake sizifahamu.

Nilitumia komoni sensi tu katika kuchanganua mazingira ya kisheria.

Wakati huo huo huyo mbowe anaweza akaendelea na kesi na akashinda
 
Ungekuwa unajua ungesikitika sana maana ilikuwa ni kesi ya kutusaidia walalahoi kunyanyaswa na wateule wa Wakubwa.Ika kwa sababu hujui si kulaumu.
Nape na Malima wangekuwa wabishi sana ukiwaambia maneno fulani kabla hayajawakuta wao.

Subiri na hawa siku yakiwakuta, watasema vingine.

Kwa sasa bado wanadhani hayawahusu.
 
Mkuu;
Mimi ni hata vitabu vya sheria na langi zake sizifahamu.

Nilitumia komoni sensi tu katika kuchanganua mazingira ya kisheria.
Sasa kama hujui unashangilia nini? Kwa kifupi hapo, hiyo kesi itafunguliwa upya kwenye mahakama muafaka. Ni kuahirisha tu kifo
 
Tatizo viongozi wa Chadema wanafanya mambo kwa kuwafurahisha mashabiki wao bila kuangalia matokeo ya baadaye.
 
Nape na Malima wangekuwa wabishi sana ukiwaambia maneno fulani kabla hayajawakuta wao.

Subiri na hawa siku yakiwakuta, watasema vingine.

Kwa sasa bado wanadhani hayawahusu.

Nape wamekuwa muhubiri wa Haki za RAIA.Acha kabisa ndugu yangu siku ukilala na njaa ndipo utajua Njaa maana yake nini!
 
H
Hajui kama kisheria bado uwezekano wa Mbowe kuendelea na kesi upo na akashinda vile vile.
Hawezi kushinda abaani. Sheria imepata msimamizi mzuri yaani prof kabudi. Lisu alikuwa anatunyanyasa tusiojua sheria sasa amekwaa kisiki
 
Wewe kweli bush lawyer yani mahakama kusema hiyo kesi ipelekwe sehemu husika,ndiyo Mbowe kashindwa kesi? Mana hata nadhani wakati unaandika viungo vyo vya mwili vilikuwa legelege na vidole juu kwa kumuandika mbowe
 
Wewe kweli bush lawyer yani mahakama kusema hiyo kesi ipelekwe sehemu husika,ndiyo Mbowe kashindwa kesi? Mana hata nadhani wakati unaandika viungo vyo vya mwili vilikuwa legelege na vidole juu kwa kumuandika mbowe
 
Mkuu;
Mimi ni hata vitabu vya sheria na langi zake sizifahamu.

Nilitumia komoni sensi tu katika kuchanganua mazingira ya kisheria.
Kwa kuwa unatumia komoni sense tu katika kuchanganua mazingira ya kisheria, bila shaka unaelewa hata mazingira yaliyokuwa yanatawala wakati huo. Na bila shaka usingeshangaa kilichotokea mahakamani. Kwa kuwa unakiri huvijui vitabu vya sheria na rangi zake, bila shaka kama ilivyo kwetu wengine, basi tuendelee kusubiri kuona mwelekeo wa mambo yote yakiwemo ya akina Bashitena TLS. Ni mapema sana kufanya unachofanya!
 
H

Hawezi kushinda abaani. Sheria imepata msimamizi mzuri yaani prof kabudi. Lisu alikuwa anatunyanyasa tusiojua sheria sasa amekwaa kisiki

Pole sana.Kinachoahinda siyo mtu Fulani Bali ushahidi walio nao.Kuwa professor siyo sababu ya kushinda au kushindwa
 
Maslahi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…