Mlishaanza kutumia mbinu,ya kuwa sosipita ni mtu wa kasikazini,kwa hiyo mmepigwa raundi ya kwanza bila kujiandaEti kinajiita Chama cha Demokrasia, Demokrasia gani leo mtu anapita bila kupingwa?
Halafu unatoka hapo unawaambia watu eti nchi hii kuna udikteta, Je kuna Udikteta zaidi ya huu?
Usijaribu kukejeri maumbile ya mtu waswahili husema hujafa hujaumbika unaweza siku moja ukatamani makengeza
Lakini Vijana Wa Lumumba Walilalamika Sana Humu Jf Kuwa Uwepo Wa Sosopi Ni Mwendelezo Wa Ukaskazini . Mbowe Akaona Ni Heri Kubaka Demokrasia Kuliko Dhambi Ya Ubaguzi Wa Kikanda.. Kina Lizaboni Na Wenzake Wamesikilizwa Mawazo YaoSio sisiem hata chadema sijui cafu wote wale wale tu
Aah umenikumbusha Shonza alipokuja CCM na kua baby ubunge akapewaWote ni Kambale Mkuu.
Chama kina wenyewe Mkuu
Bora ukae kimya Mkuu
Hiki chama kinagawa Madaraka kwa Mababy Mkuu
Hivi mara ya mwisho ccm mlipiga kura ndani ya chama kumchagua mwenyekiti ilikuwa lini?Eti kinajiita Chama cha Demokrasia, Demokrasia gani leo mtu anapita bila kupingwa?
Halafu unatoka hapo unawaambia watu eti nchi hii kuna udikteta, Je kuna Udikteta zaidi ya huu?
Kwa faida yako wewe kilaza katiba ya CCM inasema rais ndiye atakaekuwa mwenyekiti wa CCM.Nawashangaa Lumumba wanaolalamika, tuambieni kwanza Mwenyekiti wenu aligombea na nani mbona hatujasikia mkilalamika au mnaogopa kupotezwa.
Kama Zzzzk IskarioteMb
Mbona unalalamika, si uanzishe chama chako