sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,696
- 9,910
Mkuu umemwaga madini konki sana.Wahenga walisema mtumikie kafr upate mtaji,, wote hawa akina Rayvanny,Konde boy na Mbosso nawaona kama watu wasio na shukrani kabisa ,no matter how Diamond aliwanyonya kwa kiasi Gani, lakini wanapaswa kutambua kuwa bila Mondi wasingefika level walizo nazo kwa sasa.
Kuna wakati kwenye maisha Huwa tunafanya au kufanyiwa mambo ya kushamgaza na kusikitisha ili mradi tufikie malengo yetu,hawa wasanii wa Mondi wawe na adabu.Mimi hapa ni mwalimu waweza nikuta nalamika juu ya mshahara wangu kuwa kidogo lakini nikikaa kwa Kutulia naishukuru serikali kwa kuniajiri licha ya kunilipa kidogo,maana bila kuajiriwa huenda maisha yangu yangekuwa magumu sana
Nawaona hawa akina Rayvanny, Konde boy na Mbosso kama wanafunzi wajinga wanaolaumu walimu wao wa ngazi za chini kwa kuwachapa fimbo ili wazingatie elimu na baada ya kufanikiwa kupitia elimu wanafunzi hao wanaanza kulalama kwa nini walimu hao waliwachapa fimbo
Shubamiti
Diamond ndio msanii wa kwanza wa bongofleva kuandika mistari yenye vina kati na mwisho. Hiyo ni 2009 leo ni 2025 still anaandika mawe.Ila tukubaliane kwamba Mbosso ni Mtunzi mzuri kuliko Mond.. na pia baadhi ya maneno yaliyomo mule kwenye PAWA tayari Mbosso aliwahi kuyatumia ktk nyimbo zake za nyuma hivyo nina nina uhakika kabisa huu wimbo wa kuitwa Pawa umetungwa na kuandikwa na Maromboso mwenyewe
UmeuaHauwezi ukamtungia mwenzako hitsong kama pawa halafu wewe ukaimbe mapepe huu ni uongo na ndio maana dogo anasubiria tu aropoke yeye mwenyewe na sio chawa wake ili amjibu na mengine yaliyo moyoni
Aina ya walimu wanaotakiwa na mimi nikiwa raisi sio hawa wanaongea kuhusu mpira wa bongoMkuu umemwaga madini konki sana.
ππ½ππ½ππ½ππ½
rich mvoko vp mkuuWahenga walisema mtumikie kafr upate mtaji,, wote hawa akina Rayvanny,Konde boy na Mbosso nawaona kama watu wasio na shukrani kabisa ,no matter how Diamond aliwanyonya kwa kiasi Gani, lakini wanapaswa kutambua kuwa bila Mondi wasingefika level walizo nazo kwa sasa.
Kuna wakati kwenye maisha Huwa tunafanya au kufanyiwa mambo ya kushamgaza na kusikitisha ili mradi tufikie malengo yetu,hawa wasanii wa Mondi wawe na adabu.Mimi hapa ni mwalimu waweza nikuta nalamika juu ya mshahara wangu kuwa kidogo lakini nikikaa kwa Kutulia naishukuru serikali kwa kuniajiri licha ya kunilipa kidogo,maana bila kuajiriwa huenda maisha yangu yangekuwa magumu sana
Nawaona hawa akina Rayvanny, Konde boy na Mbosso kama wanafunzi wajinga wanaolaumu walimu wao wa ngazi za chini kwa kuwachapa fimbo ili wazingatie elimu na baada ya kufanikiwa kupitia elimu wanafunzi hao wanaanza kulalama kwa nini walimu hao waliwachapa fimbo
Shubamiti
Rich movoko wa wapi Tena,!?rich mvoko vp mkuu