Mtoto alipotakiwa kuadhibiwa na baba yake kutokana na kukojoa kitandani alijitetea kama ifuatavyo:
Baba: Kwanini umekojoa kitandani usiku wa kuamkia leo?
Mtoto: Nilikuiga wewe.
Baba: Huna adabu, kwani mimi nnakojoa kitandani
Mtoto: Mbona huwa nakusikiaga unamwomba mama ruhusa ya kukojoa kitandani usiku nae anakuruhusu.
Baba: Kesho nitakupeleka kwa babu yako kijijini hadi nijenge nyumba kubwa!