raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Mmmh!
Jamani ni muda sasa najitahidi kuwa karibu na wewe lakn wewe unajitahd kusogea mbali,
sms zangu unajibu mara chache mno!
Niki2ma 10 basi 3 zitajibiwa..
Najitahd kukupigia japo huwa unapokea mara nyingi ila haunipi ushirikiano katika story..
Najua utasoma hii thread....
Plz don't do me like that
Yani ndo umeyaleta huku?siamini kama unaweza kufanya hivi, basi sikutaki tenaMmmh!
Jamani ni muda sasa najitahidi kuwa karibu na wewe lakn wewe unajitahd kusogea mbali,
sms zangu unajibu mara chache mno!
Niki2ma 10 basi 3 zitajibiwa..
Najitahd kukupigia japo huwa unapokea mara nyingi ila haunipi ushirikiano katika story..
Najua utasoma hii thread....
Plz don't do me like that
May be uhamishe salio lako la bank account kwake huenda akarudisha moyo.....si unajua wahenga walisema penye udhia penyeza rupia na pia pesa sabuni ya roho??Mrembo by Nature; we acha tu bado kanichunia,
natamani hata ani pm