jaman m nashindwa kuelewa nilchaguliwa round ya kwanza dp ya pharmacy na baada ya kuchagiwa kulkua hakuna selection nyingne yan second wala third sasa nashangaa tulchaguliwa 123 naona yapo majna 50 yameandikwa verified na wenzangu wametapa join instruction m sijapata jaman msaada hapo inakuaje