godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Nilikuwa napata MB 500 za Internet kuperuzi Facebook na You Tube,lakini kuanzia jana nikitaka kujiunga kifurushi cha Internet cha Tshs 500 ambapo nilikuwa napata Megabyte 500,lakini imekuwa tofauti napewa airtime Halotel kwenda Halotel dakika 30 na MB 250. Hii imekaaje wenzangu mnaotumia mtandao wa Halotel?
mimi napewa 1GB kwa Tsh 1000 kwa wiki, halotel daima.

nanunua huduma,bahati mbaya mara zote muuzaji ndiye anaamua bei bila kunishirikisha.Hii ni biashara sio huduma mkuu.
Fahamu kuwa kinachowaunganisha mfanyabiashara na mteja ni maslahi.
Huruma na kufurahishana weka pembeni mbali kabisa,futa, ondoa.
Kifurushi Cha nafuu Cha week Ni kifurushi Cha pesa ngapi na napata mb ngapiRudini nyumbani kumenoga
Nilikuwa napata MB 500 za Internet kuperuzi Facebook na You Tube,lakini kuanzia jana nikitaka kujiunga kifurushi cha Internet cha Tshs 500 ambapo nilikuwa napata Megabyte 500,lakini imekuwa tofauti napewa airtime Halotel kwenda Halotel dakika 30 na MB 250. Hii imekaaje wenzangu mnaotumia mtandao wa Halotel?
Nimependa jibu lako japo limekuwa kavu sana.Hii ni biashara sio huduma mkuu.