Mbona simwelewi balozi seif ali idi

Mbona simwelewi balozi seif ali idi

Mozila

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
174
Reaction score
49
Balozi seif ali idi ni kiongozi wa shughuli za baraza la wawakilishi znz.sasa ndani ya bunge la jamhuri anafanya nini?
 
Balozi seif ali idi ni kiongozi wa shughuli za baraza la wawakilishi znz.sasa ndani ya bunge la jamhuri anafanya nini?

Kwa maelezo yako Mkuu, inaonyesha kama huishi TZ au si mfuatiliaji wa mambo yalivyo nchini mwetu. Kwa taarifa yako Balozi Iddi ni mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Kitope katika nchi ya ZNZ. Vile vile ni mwakilishi wa kuteuliwa na Rais wa ZNZ, kwa maana hiyo anaweza kuingia katika BLW na Bunge la Muungano at a same time. Upo hapo!!! Kapitoo?
 
Upo sawa lkn kushika nafasi zote hzo hakuna utendaji mzuri...makamu wa pili wa rais,mbunge wa jimbo znz,mbunge wa kuteuliwa,kiongozi wa shughuli za serikali ktk baraza la wawakilishi..yaani kamzidi hadi rais wa jamhuri
 
kujazana vyeo kusipokuwa na sababu ya msingi kwani hakuna watu wengine kuweza kupewa hizo nafasi mambo mengine yanaudhi
 
Huyu Idi nimepata taarifa kutoka Zenji anawakimbia jamaa wa UWAMSHO kwa7bu wanamsumbua kichizi huku kwao kwa sa7bu ya muungano wacha ajipumzikie huku bongo na wala SMZ hawajachukua hatua yoyte.

Na nimeckia wanamsomea dua zao kali za kumuangamiza pamoja na Shamuhuna, wanampigia dua hadharani.
 
Back
Top Bottom