Boss kuna vitu vingi vinachanganya Tanzania hii.kwamfano tunaongozwa Na katiba pamoja na Sheria ,serikali inahamasisha kufata Sheria upinzani unahamasisha kufata katiba.katiba inasema ni haki kufanya sasa mda wwote,sheria ina ban kufanya siasa baada ya uchaguzi.sheria inalindwa Na police,tiss,jeshi,uhamiaji Na ofisi ya msajili wa nyama vya siasa wakati huo katiba hailindwi na mtu.