kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Mh magufuli malizeni mgogoro wa zanzibar. Huu ubabe wa nini? Kulikua na haja gani kufanya uchaguzi kama matokeo hatuyataki?
Wafanyabiashara zanzibar wanashindwa kujiingiziza kazini kwa hofu ya vurugu inayo wezakupelekea upotevu wa mali zao. Fanyeni maamuzi magumu ikibidi kuondoa huu mkwamo.