Mbona JK hakumshukuru Riziwani jana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona JK hakumshukuru Riziwani jana?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mawenzi, Oct 31, 2010.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona JK hakuwashukuru riziwani na miraji jana pale Janngwani? Alimshukuru mke wake tu. Au aliogopa usemi wa BMW (baba, mama, watoto)?

  Halafu alikumbushia siasa za majitaka kwa kusema wengine wameazima wake za watu kwenda nao Ikulu! Alijua jana ilikuwa siku ya mwisho wa kampeni kwa hiyo Dr Sllaa asingepata muda wa kuzijibu.

  Hata Kinana sikusikia akishukuriwa.

  Kama kawaida yake mkapa alikuwa njwiiii. Kati ya sifa za mkapa ni pamoja na ulevi na kula chakula kingi sana. Na akilewa huropoka sana, kama alivyofanya jana.
   
Loading...