nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
majamaaa yanadai yameingia kwa jasho lao labda jasho la kwapa. 3 years kwenye mashindano ya caf yamezoa points 2 simba kagongesha 16 in one year zinazotosha kabisa kuipiku ivory coast yenye 15Hachana nao hawana shukrani. Ngoja tuone watafanya nini. Raundi ya 1tu chali.
watakuja na kusema points zao zimesaidia hawajui hiyo ni 5 years rankings..ukiangalia vizuri 2017 ivory coast na mozambique walikuwa poa kabisa sisi tukiwa wa 24 na kenya hata 24 haipo ila mwaka huu kibao kimebadilika simba kapindua meza na gor mahia ilibaki kidogo tu aiingize kenya .Imagine jinsi zahera alivyohangaika tusiiingie robo fainali na kusambaza yale maneno ya sumu leo kafurahia huku WAKIWA NA MIPANGO YA KUCHUKUA UBINGWA WA AFRICA...vichaa punguan wahedHawatapita hapa
Nimecheka Kwa sautiwatakuja na kusema points zao zimesaidia hawajui hiyo ni 5 years rankings..ukiangalia vizuri 2017 ivory coast na mozambique walikuwa poa kabisa sisi tukiwa wa 24 na kenya hata 24 haipo ila mwaka huu kibao kimebadilika simba kapindua meza na gor mahia ilibaki kidogo tu aiingize kenya .Imagine jinsi zahera alivyohangaika tusiiingie robo fainali na kusambaza yale maneno ya sumu leo kafurahia huku WAKIWA NA MIPANGO YA KUCHUKUA UBINGWA WA AFRICA...vichaa punguan wahed
Tunaona sio kitu cha kawaida maana hamtaki kuadmit kuwa mmesaidiwa kwani sh. Ngapi kukubali? Yaani mnajaribu kulinganisha point 3 za miaka mitatu na point 15 za mwaka moja,mngekubali kuwa simba kafanya kitu kikubwa mpaka nyie kupata nafasi hiyo then mpambane kulipiza hilo kwa nyie kufanya kitu ili awamu nyingine simba ashiriki kwa mgongo wenu hili jambo lingekuwa la kawaida sana, lakini kutwa kushangilia wageniIla mna tabu nyiee. Yaani hatupumui kisa hizo Points. Lol.
Ama kweli ushamba siku zote ni mzigo. Ifikie hatua muone ni kitu cha kawaida jamani.
Oooh. Kuumbe.Tunaona sio kitu cha kawaida maana hamtaki kuadmit kuwa mmesaidiwa kwani sh. Ngapi kukubali? Yaani mnajaribu kulinganisha point 3 za miaka mitatu na point 15 za mwaka moja,mngekubali kuwa simba kafanya kitu kikubwa mpaka nyie kupata nafasi hiyo then mpambane kulipiza hilo kwa nyie kufanya kitu ili awamu nyingine simba ashiriki kwa mgongo wenu hili jambo lingekuwa la kawaida sana, lakini kutwa kushangilia wageni
πππKateni rufaa FIFA.
Msijali tunafurahi kuwaona huko maana kidogo itawawia vigumu kushabikia wanaume wenzenu waliotoka nje ya nchi maana na nyie mnatimu yakushabikia kwa sasa ila msitoke mapema maana mtarudi kujipendekeza kama kawaida yenuOooh. Kuumbe.
Basi ikifika kipindi mkiona jambo la kawaida mtuambiage.
Hatari sana hii ya kujiona mwenzio ndio anaweza kutoka mapema na si wewe.Msijali tunafurahi kuwaona huko maana kidogo itawawia vigumu kushabikia wanaume wenzenu waliotoka nje ya nchi maana na nyie mnatimu yakushabikia kwa sasa ila msitoke mapema maana mtarudi kujipendekeza kama kawaida yenu
Hatari sana hii ya kujiona mwenzio ndio anaweza kutoka mapema na si wewe.
Jipigieni mahesabu na nyie kwani inawezekana mkatoka mapema pia Mkuu.