Mbona hizi chart zinaonesha Simba kavuna 16 pointi CAF siyo 15?

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Hivi all this time tunadanganyana kwamba vyura walicontribute 3 points in the 5 years CAF rankings kumbe ni 2???kama simba kaongezea 16 points hawa vyura wanakataa nini kupiga magoti na kushukuru,angalia mchango wao hadi kufikia 2017. 2 points wakiiiweka nchi katika nafasi ya 24 kabala ya wanaume kuja kupindua meza in one year hadi namba 12.
source https://en.wikipedia.org/wiki/CAF_5-Year_Ranking
1.JPG
2.JPG
 
Hachana nao hawana shukrani. Ngoja tuone watafanya nini. Raundi ya 1tu chali.
majamaaa yanadai yameingia kwa jasho lao labda jasho la kwapa. 3 years kwenye mashindano ya caf yamezoa points 2 simba kagongesha 16 in one year zinazotosha kabisa kuipiku ivory coast yenye 15
 
Hawatapita hapa
watakuja na kusema points zao zimesaidia hawajui hiyo ni 5 years rankings..ukiangalia vizuri 2017 ivory coast na mozambique walikuwa poa kabisa sisi tukiwa wa 24 na kenya hata 24 haipo ila mwaka huu kibao kimebadilika simba kapindua meza na gor mahia ilibaki kidogo tu aiingize kenya .Imagine jinsi zahera alivyohangaika tusiiingie robo fainali na kusambaza yale maneno ya sumu leo kafurahia huku WAKIWA NA MIPANGO YA KUCHUKUA UBINGWA WA AFRICA...vichaa punguan wahed
 
Nimecheka Kwa sauti
 
Yaani roho imeniuma sana. Simba amepigana kiume alafu vyura wanaenda tolewa round ya kwanza.
 
Hapana mkuu, Vyura wana mchango wao wa points 3 muhimu;

Points za Yanga ama Simba za sasa zinapatikana kwa kuzidisha points ktk kila mwaka wa kushiriki mashindano na nafasi ya mwaka huo tokea mwaka rejea/base year ndani ya miaka 5; kwa sasa ni 2015.

Yanga 2016 》Points 0.5 x 2 = 1
Yanga 2018 》Points 0.5 x 4 = 2
Simba 2018-19 》Points 3 x 5 = 15
Jumla kuu = 18

Yes, points 15 za Simba pekee ni nyingi mara dufu kuliko za Yanga lakini kwa points hizo 15 tu tungeumana na Ivory Coast ktk nafasi ya 12 na hatimae kugawana ushiriki yaani kupeleka timu 2 kila nchi, kitu ambacho Yanga bado kisingewanufaisha.

Lakini points 15 za Mnyama zinapojumlishwa na points 3 za Yanga = 18 ambazo zinatuweka Tanzania wenyewe tu ktk nafasi ya 12 na kunufaika wenyewe tu na nafasi hizo 4.

Sasa ndo kama vile tena Yanga katimiza vigezo mwanamme anaoegelea fursa lakini ilotokana na jasho lake mwenyewe japo jasho jingi kamwaga Mnyama.

Tukumbuke kuwa jasho hilo hilo chache la Yanga lingenufaisha timu zozote za nafasi ya pili na ya tatu hata kama Yanga isingekuwemo kwenye msimamo TPL.

Naam, Chembe na Chembe Mkate Umekuwa
 
Ila mna tabu nyiee. Yaani hatupumui kisa hizo Points. Lol.

Ama kweli ushamba siku zote ni mzigo. Ifikie hatua muone ni kitu cha kawaida jamani.
 
HUO UPUMBAVU UNAWASAIDIA NINI KAMA MIKIA FC?????........HAYA CHUKUENI ZOTE.
 
Ila mna tabu nyiee. Yaani hatupumui kisa hizo Points. Lol.

Ama kweli ushamba siku zote ni mzigo. Ifikie hatua muone ni kitu cha kawaida jamani.
Tunaona sio kitu cha kawaida maana hamtaki kuadmit kuwa mmesaidiwa kwani sh. Ngapi kukubali? Yaani mnajaribu kulinganisha point 3 za miaka mitatu na point 15 za mwaka moja,mngekubali kuwa simba kafanya kitu kikubwa mpaka nyie kupata nafasi hiyo then mpambane kulipiza hilo kwa nyie kufanya kitu ili awamu nyingine simba ashiriki kwa mgongo wenu hili jambo lingekuwa la kawaida sana, lakini kutwa kushangilia wageni
 
Oooh. Kuumbe.

Basi ikifika kipindi mkiona jambo la kawaida mtuambiage.
 
Oooh. Kuumbe.

Basi ikifika kipindi mkiona jambo la kawaida mtuambiage.
Msijali tunafurahi kuwaona huko maana kidogo itawawia vigumu kushabikia wanaume wenzenu waliotoka nje ya nchi maana na nyie mnatimu yakushabikia kwa sasa ila msitoke mapema maana mtarudi kujipendekeza kama kawaida yenu
 
Hatari sana hii ya kujiona mwenzio ndio anaweza kutoka mapema na si wewe.

Jipigieni mahesabu na nyie kwani inawezekana mkatoka mapema pia Mkuu.
 
Hatari sana hii ya kujiona mwenzio ndio anaweza kutoka mapema na si wewe.

Jipigieni mahesabu na nyie kwani inawezekana mkatoka mapema pia Mkuu.
Capture.JPG
wabebee hao mzeee baba ucheebeeee unapepeeaaa bora hata kmc ana shukrani kanashangilia ila hilo bwege hapo.....
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom