Zinduka wewe huyo mpenzi wako ana kazi au shughuli yoyote inayomwingizia kipato?
Je! anaishi kwake au kwa wazazi au ndugu?
Kama ana kipato cha ziada hapo sawa hana shida na visenti vyako anauhitaji muhogo wako zaidi.
Kama hana kazi yoyote basi shituka kuna mtu anamtimizia mahitaji kwako yuko kimapenzi zaidi, labda yule alienae hampi shughuli pevu hivyo anaipata kwako.Tafakari Chukua Hatua.
Duh, wakitegeana unyumba utakuwa ndo mwanzo wa kupata jibu la hili swali alilouliza na yale yaliyojificha kwenye roho...kuna watu wakinyimwa wanaongea wewe...ohooooooooo!!
I think she's buzy luving u she ain't got no tym for ur madafu change.
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?
yah...ukija kibuzi utaitwa buzi...ukijifanya atm jina unalo....ukija kwa heshima....mbona utaheshimiwa....inategemea ulianza vipi....
Jamani mi mpenz wangu halikuwa hata hanipi hata vocha na wala sikuwai kumwambia kitu, bt nikawa najiuliza huyu mwanaume ameumbwaje hata vocha jaman? So was just testing him, bt eventualy akagundua hilo and nw ananipa hata nisiyoyataraji so pls show ua manism in u.
inategemea lakini kama mwanamke unamshahara haina haja ya kuomba, ukiomba itakuwa tamaa kidogo: ila kama huna source yoyote hata mimi mwanaume nisipokupa nitakuwa namatatizo kidogoWengine hatujui kuomba.