Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?

najua atapokea lakini mbona kwanini hata asiombe vocha tht is a simple thng?hata yeye bila shaka anajiuliza kwa nini humpi, anakupima tu. Mpe uone kama atakataa.
najua atapokea lakini mbona kwanini hata asiombe vocha tht is a simple thng?
Unajua sisi wengine tusipoombwa tunaona kama tunapunguziwa uanaume wetu....sio wanawake wote wana tabia ya kuomba....na kama unafeel guilty si umpe kwani mpaka uombwe?....
Unajua sisi wengine tusipoombwa tunaona kama tunapunguziwa uanaume wetu....
Lakini na nyie bana, tukiwapa mnaanza kutuita majina tena...mara buzi, ATM sijui nani aah!.na sisi wengine hatuombi ili tuone how gentleman you are.....
Lakini na nyie bana, tukiwapa mnaanza kutuita majina tena...mara buzi, ATM sijui nani aah!.
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?
na sisi wengine hatuombi ili tuone how gentleman you are.....
so am i nt a gantleman only coz of tht?na sisi wengine hatuombi ili tuone how gentleman you are.....