Single maza anaweza akakupigia simu usiku wa manane "Mwanao amemeza subwoofer na remote yake huku, sijui nafanyaje mie".Single faza sio wasumbufu [emoji3][emoji3]
Wala single fazas hawaombi hela ya matumizi 😅😅😅Ila single maza anaweza akakupigia simu usiku wa manane "Mwanao amemeza subwoofer na remote yake huku, sijui nafanyaje".
Ilimradi amani itoweke moyoni, akusugue roho tu.
Siwasagii I'm just curiousWagumu Tunadumu kuna huyu kaja kivingine kuwasagia singo maza kunguni 😂
Ni yao tena😀😀Mpaka siku ipindukie j4 singo maza kazi leo wanayo ndio kwanza saa 4:45. Hii nayo ni yao ila kivingine
Kwa nnavyoiona ni yao, comparisonNi yao tena😀😀
😀😀😀subiri kwanzaHakuna single faza kwa sababu tunazaa na wanawake wenzetu
Wapo kibao tena humu ndo ile timu kataa ndoa.Wakuu hamjambo
Marahabaaa.....
Nimekuja kuwauliza hivi mbona
Hamnaga singo faza mtaani. Yaani huwezi kuta mwanaume mwenye mtoto bila ndoa aitwe singo faza.
Hata kama wapo mbona wana CV nzuri na hawawezi kusemwa kabisa.
Lakini hawa singo maza wanaonekana kama takataka au matapishi na jamii haiwapendi kabisa
Ikiwemo mimi [emoji19][emoji848][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Naombeni mnijuze hiii hali siielewi
View attachment 2549685View attachment 2549686
Eee Ndio maana huwa hawatajwi au unaonaje😀😀😀subiri kwanza
CV mbovu za ma single maza mnazitengeneza nyie kina Shaban na Mudy kweny vichwa vyenu.Lakini hawana CV mbovu mtaani na kwenye jamii kama single maza 🤔