KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 117
- 41
Nina mbolea ya mavi ya popo natafuta soko la kuyauza debe 45.000/= maelewano yapo Napatikana Tabora Sikonge wale wanaopenda kilimo kisicho cha kemikali tuonane nikuuzie ni mboleanzuri ambayo hutajuta kuipata kwa bei hiyo.
Mawasiliano; 0769601703
0629887109
Kama unafahamu soko lilipo njoo nikuuzie kwa bei ambayo na wewe utapata chochote
Mawasiliano; 0769601703
0629887109
Kama unafahamu soko lilipo njoo nikuuzie kwa bei ambayo na wewe utapata chochote