Kiukweli Victor moses sasa hivi ni shujaa wetu..Msimu uliopita Yokohama alihama na ushindi wetu mwaka huu walie tu, namshukuru kocha kwa kusikiliza maoni yetu na kumpa Victor namba matokeo tunayaona Victor ndiye anaendana na mfumo wa conte, watu wengi wanaongelea hazard, Costa,cante Mimi shujaa wangu ni Victor.
Jiamini na team yako tuna team nzuri sanaMimi pia ze Bluz damu-damu ila kuota ushindi muda huu ni kudhihirisha mahaba yaliyopitiliza. Bado ni mapema sana!
Sasa nyuzi zinahusianaje huku??? Ebu fikiria vizuri wewe ulichoona hapo ni majina ya team tu?? Hapa naelewa sana hizo nyuzi za team, na mara nyingi zimejumuisha watu wa team husika, hapa ni mbio za kuwania ubingwa wa EPL kazi kubwa ni kutabiri kupigana vijembe kwa mashbiki wa team zote. Na siyo kwa league zote bali maalum kwa EPL hapa ata mimi huko nipo ila tunanogesha kivyetu kiushabiki na kiushangiliaji majungu, masengenyo udaku wa kabumbu vyote hapa.hizo timu zote ulizozitaja zina uzi wake hapa.............na watu wanataniana kwenye majukwaa husika.
ushauri wangu na si sheria..........tungetafuta uzi husika wa kila timu .
aiseee .......Sasa huzi zinahusianaje huku??? Ebu acha upuuzi wewe ulichoona hapo ni majina ya team tu?? Hapa naelewa sana hizo team hapa ni mbio za kuwania ubingwa wa EPL kazi kubwa ni kutabiri kupigana vijembe kwa mashbiki wa team zote. Na siyo kwa league zote bali maalum kwa EPL hapa ata mimi huko nipo ila tunanogesha kivyetu kiushabiki na kiushangiliaji majungu, masengenyo udaku wa kabumbu vyote hapa.
Sisi hapa changanyikeni anayetaka unazi au anaogopa kushambuliwa na masengenyo ya kimpira atimue mapema.
uchungu wa kukudhalau.?Iko hivyoo..[emoji41] [emoji41] tumia [emoji525] hiyo kudeilute uchungu..[emoji23]
nami ndilo nililonifanya nikudharau..............na kwa akili yangu ndiyo maana nika comment ''aisee''.........ili tuishie hapo.Hapana kuna kijineno nimekatumia ili kakutie uchungu(upuuzi) ila nimetengua kauli nimekaedit [emoji120] [emoji120]
Ukinidharau mie unajichosha bure, shida niliona umekurupuka ukusoma na kuelewa dhamira ya uzi.! Naomba nikutambue bila shaka MAN U, itakuwa si kosa lako stress tu..[emoji12] [emoji12]nami ndilo nililonifanya nikudharau..............na kwa akili yangu ndiyo maana nika comment ''aisee''.........ili tuishie hapo.
sawa.................Ukinidharau mie unajichosha bure, shida niliona umekurupuka ukusoma na kuelewa dhamira ya uzi.! Naomba nikutambue bila shaka MAN U, itakuwa si kosa lako stress tu..[emoji12] [emoji12]