Mbio za urais CCM kimya

Mbio za urais CCM kimya

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Wapo wapi wale waliokuwa wakijinadi kuwa watagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM ,wezi kama kuminasita hivi walikuwa wanajitangazia kuwa ndio watagombea,sasa ni wiki ya pili ,siwasikii,siwaoni wamekaa kimya ,wameufyata !

Na wale wapiga debe wao hapa JF nao wamemwagiwa acid ,hawatamani hata kuwasemea ,mnatuletea makundi ya majambazi eti ndio wagombea ,hakuna hata mccm mmoja anaetakiwa wote wamekwishaharibika ,wameharibikia ukubwani.

Nawapa pole sana miccm ,sasa wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa sana habari kutoka UKAWA tu,wanahamu ya kumjua watakaempigia kura na kumkabidhi utawala wa Nchi hii.:cheer2:
 
NI MWENDO WAKUNYATTTTTTTA(kimyakimya).!!

Waliopaza sauti watueleze walikopotelea. Huyu mzee yeye ni mdogomdogo(kama hataki vile).
 
Na ameamua ku'smile kabisa maana wengi humu walichonga na kumuogopa ati hacheki na mtu! Taratiibu,hadi #magogoni .
 
Attachments

  • 1417986932880.jpg
    1417986932880.jpg
    19 KB · Views: 411
Tunaenda na LOWASSA 2015
Hakuna huyo fisadi nambari one,na kweli mnaenda na Lowasa ,huyo hana sifa hata ya kuwa kiranja wa shule ,mlilobakisha mnacheza pata potea ,safari hii hakuna cha bahati nasibu,hatuchagui mtu tunachagua Chama ,so whatever jambazi litatoka CCM,noway ataiongoza Tanzania ,napenda mmfahamu tu kuwa Tanzania haihitajii tena CCM,unyanyapaa wa CCM kutuwekea serikali zilizojaa wezi hauna tena nafasi.
 
Hata atabasamu! hamna kitu hapo! Ameshindwa fukuza wezi; Je akiingia! Kazi yake itakuwa linda Majizi tuu! Wakitaka wapite, Wamsimamishe Jaji Joseph Warioba; ndo nitawaamini kweli wanataka kuirudisha C
 
wenye nia walishajitangaza wakamaliza tayar wanajulikana. Unataka wakae wanakumbushia au
 
Baada ya Lichama lao kukumbwa na likashfa la ESCROW, wagombea urais kutoka Sicem wamepigwa butwaa..

Wanajiuliza watakuja na sound gani kwa wananchi maana wengi wao ni Mawaziri na wapo kwenye Serikali iliganzishwa hadi Billions zikachotwa BOT na kutakatishwa huko STANBIC na MKOMBOZI.

Hawa Wagombea URAIS wengi ni Mawaziri na wapo serikalini, hawakuona huu ufisadi wakakemea? Je kama hawakuona basi ni vipofu.. hawafai kuongoza
 
MPadmire

Umezungumza kweli kabisa hawa wagombania Uraisi wa CCM inawezekana kabisa wameshakata tamaa na njia ya kuikimbia aibu ni kukaa kimya tu,inaonyesha hata ndani ya NEC ya CCM hawatapeleka majina yao ,ESCREW imewafanya wawe wadogo sana ,ni aibu kubwa kwao na yenye hatari ya kuzomewa kama si kupigwa mawe.
 
Hivi sisi watanzania kwanini hatusomi alama za nyakati... Nyerere alisha sema Kikwete Lowasa hawafai kuwa Marais .Tuliziba masikio tukamchagua Kikwete na mtokeo yake tunayaoana, Sasa tunaanza tena debe kwa Lowasa. amani Siasa na ushabiki bila kuangalia falsafa za agombea ni hatar sana..Tanzania tunahitaji Mabadiliko Wala sio Mzaa
 
Back
Top Bottom