Mbio za ufungaji Bora Nbcpl; Feisal Salumu anaongoza kwa goli moja mbele ya Aziz Ki

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,280
12,774
Mbio za Kiatu cha #UfungajiBora wa NBC Premier League msimu huu zinaendelea kupamba moto na mpaka sasa kileleni yupo Feisal Salum wa Azam Fc ambaye hapo jana alifikisha magoli 11 na anayemfuatia ni Stephane Aziz Ki wa Yanga Sc mwenye magoli 10.

Maoni Yangu: kwa kua Feisal Salumu hatokei Yanga Sc Wala Simba sc hutoona wachambuzi, Redio, magazeti na Tv zikimuimba lakini bwana mdogo yupo Moto sana.
1709543074099.jpg
 
Mbio za Kiatu cha #UfungajiBora wa NBC Premier League msimu huu zinaendelea kupamba moto na mpaka sasa kileleni yupo Feisal Salum wa Azam Fc ambaye hapo jana alifikisha magoli 11 na anayemfuatia ni Stephane Aziz Ki wa Yanga Sc mwenye magoli 10.

Maoni Yangu: kwa kua Feisal Salumu hatokei Yanga Sc Wala Simba sc hutoona wachambuzi, Redio, magazeti na Tv zikimuimba lakini bwana mdogo yupo Moto sana.View attachment 2924203
ni sawa anaongoza,ila azam wana michezo mitatu mbele ya yanga
 
Mbio za Kiatu cha #UfungajiBora wa NBC Premier League msimu huu zinaendelea kupamba moto na mpaka sasa kileleni yupo Feisal Salum wa Azam Fc ambaye hapo jana alifikisha magoli 11 na anayemfuatia ni Stephane Aziz Ki wa Yanga Sc mwenye magoli 10.

Maoni Yangu: kwa kua Feisal Salumu hatokei Yanga Sc Wala Simba sc hutoona wachambuzi, Redio, magazeti na Tv zikimuimba lakini bwana mdogo yupo Moto sana.View attachment 2924203
Na unaweza shangaa sio Aziz Ki ndiye atakayekuja kuwa mpinzani wake. Pale Yanga, kuna wafungaji wengi na wana uwiano mkubwa wa magoli hivyo unaweza shangaa Max au Mudathir wakapanda juu ya Azizi ki
 
HILO HALINA SHAKA KABISA
 
Back
Top Bottom