Sheria za mikeka usiweke pesa ambayo una malengo nayo na ambayo ukiliwa utaumiaDah! Pole sana mkuu
kwa hili ase ngoja waje wajuzi...ila kama ni mtu wa kubeti basi ukiweka mkeka mapema tu hela inarudi yan
Mpe odds za leo basiDah! Pole sana mkuu
kwa hili ase ngoja waje wajuzi...ila kama ni mtu wa kubeti basi ukiweka mkeka mapema tu hela inarudi yan
Ataliwa na hiyo iliyobakiaMpe odds za leo basi
hahahahahahaDah! Pole sana mkuu
kwa hili ase ngoja waje wajuzi...ila kama ni mtu wa kubeti basi ukiweka mkeka mapema tu hela inarudi yan
Hahah inabidi awe mpole kwa hili sualasheria za mikeka usiweke pesa ambayo una malengo nayo na ambayo ukiliwa utaumia
Kwa muda uliobaki ni bora ukatulia, hakuna biashara itakayo kupa faida ya iyo pesa ndan ya muda mfupi,Habari zenu wana JF! Kwanza nitangulize shukurani zangu za dhati kwenu kwani nimekuwa nikijufunza mambo mbalimbali kutoka kwenu, asanteni sana.
Nipende kwenda moja kwa moja katika mada, mimi ni kijana ambaye ni mpambanaji lkn pia nipo moja ya chuo kikuu kilichopo hapa Tanzania. Jamani mimi katika harakati za kusaka pesa nilijaribu kusaka mtaji mpaka nikafikisha takribani 760,0000 mnamo mwezi wa 7. Niliendelea kupambana lkn nikaendelea kupata pesa kidogo kidogo.
Ila sasa kusikitisha sasahivi nimebakiza 150,000 pekee na nahitaji 500,000 kwajili ya ada ili kwenda kuendelea na masomo ifikapo mwezi wa 11. Naombeni msaada wanu ni biashara ipi nitafanya kwa siku hizi chache zilizo bakia kwa kutumia mtaji wa Tsh. 150,000?
Karibuni na Mungu awabariki! Mi nipo Mwanza
Hahah aweke jackpot tu huko hamna haja ya odds afu ndo pesa nyingiMpe odds za leo basi
Ila akila atapata hela nyingi afikirie pia kuhusu hiloAtaliwa na hiyo iliyobakia
Hahahah kweli kabisaNadhani utumie mbinu zilezile ulizotumia hadi ukafikisha "760, 0000"
Mkuu,
π€π²π²ππππ€£ππ€£πNadhani utumie mbinu zilezile ulizotumia hadi ukafikisha "760, 0000"