quimby_joey JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 391 Reaction score 175 Jul 2, 2012 #1 Drug Dealers wamebuni njia mpya baada ya ile ya kutumia miili ya marehemu kupitisha madawa kugundulika, hapa tena watakuja na ipi mpya?huyu ni ajuza wa miaka 89!
Drug Dealers wamebuni njia mpya baada ya ile ya kutumia miili ya marehemu kupitisha madawa kugundulika, hapa tena watakuja na ipi mpya?huyu ni ajuza wa miaka 89!
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jul 3, 2012 #3 pesa tamu, hata ajuza na yeye anajua pesa tamu,
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 3, 2012 #4 sasa at 89 ukiipata utaifanya nini, siku zenyewe zilizobaki chache
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 4, 2012 #5 Huyo atakuwa katumwa na mwanaye.
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,962 Reaction score 8,633 Jul 4, 2012 #6 grafani11 said: Huyo atakuwa katumwa na mwanaye. Click to expand... Afadhali wangekuwa wanawe, hao wajukuu ndio wamemtuma!!!
grafani11 said: Huyo atakuwa katumwa na mwanaye. Click to expand... Afadhali wangekuwa wanawe, hao wajukuu ndio wamemtuma!!!
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jul 4, 2012 #7 Huyu atafungwa jela kwa muda gani? Sikuzake zilizobakia duniani hazitoshi adhabu anayostahili....Deni la adhabu yake alinalizie nani?
Huyu atafungwa jela kwa muda gani? Sikuzake zilizobakia duniani hazitoshi adhabu anayostahili....Deni la adhabu yake alinalizie nani?
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 4, 2012 #8 Mlete kwangu nimfunge uone kama ana siku chache zilizobakia.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Jul 5, 2012 #9 MadameX said: sasa at 89 ukiipata utaifanya nini, siku zenyewe zilizobaki chache Click to expand... Umenena ukweli ila hela ndo ilivyo haijalishi umri bado mtu anaitaka tuuuuu
MadameX said: sasa at 89 ukiipata utaifanya nini, siku zenyewe zilizobaki chache Click to expand... Umenena ukweli ila hela ndo ilivyo haijalishi umri bado mtu anaitaka tuuuuu