Elinanho
Member
- May 2, 2011
- 13
- 0
Kwa jinsi nivyo ona, asilimia kubwa ya wana mbeya ni UKAWA, kila pahala napo pita ni shamra shamra za magari ya matangazo na nyimbo za kukebehi ccm "bora ukimwi kuliko ccm" hiyo ndiyo kauli mbiu katika vijiwe' wengine wakitia nakshi kwa kusema bora ebola, hakika ukawa na mbeya damdam,
Katika mkutano uliofanyika jana eneo la kituo cha mabasi uyole, mgombea wa ubunge kupitia chama cha ccm alikua akinadi sera zake ila hata hakuweza kushawishi hali iliyomfanya kukata tamaa na uchaguzi licha ya kumuomba mwigulu nchemba lakini hakuweza kufufua matumaini yoyote. Kwa kua nae aliwatukana wana ukawa kwa kuwaambia watapigwa tu, wao, mbwa zao, wanaomlisha mbwa hata vyombo vya mbwa, watu hawakuonyesha kukasirika kwao kwa kauli hiyo moja kwa moja kutokana na kuwepo kwa polisi wengi, lakini hata hivyo raisi wa mbeya sugu aliyekua akitoka katika kampeni na kupita eneo hilo baada ya mkutano wa ccm punde kumalizika, alitia fora kwa wananchi wake kuonyesha mahaba ya dhati huku wakimwimbia nyimbo za kumsifu pia wakisukuma gari lake na kuwasahaulisha yale matusi yote ya makada wa ccm.