Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Nonde, majengo, Ghana, Mbata, Kiwanja Mpaka, sokomatola, Mtaa wa Kanisa, Barabara ya kwanza mpaka ya 11. Mashineni, stend, Jacaranda, Mabatini, Forest, sterio, Mafyati, Mwanjelwa, Airport! home sweet home!

Shule zilizosifika, kama hujasoma Majengo pls , basi, umesoma Mbata pls,
Au Itiji pale karibu na mashine au Mbeya Retco, au Maendeleo pls, ama Azimio pls au Sisimba!
Secondary umeenda Mbeya Day Sec, Au Iyunga Sec, au Meta sec, au Iyunga.

Ama dada zetu pale Loleza!

Kama hujacheza kiwanja ngoma basi ulienda kuangalia mpira ukakutana na timu kali sana "Jogoo basha" enzi hizo.
Ama umepanda costa moja matata sana enzi hizo Mv Saratoga!

Au ulikula mahindi ya kuchoma, au ndizi za kuchoma "mafufu" na parachichi.

Ooh Mbeya sweet home!

Leo hii asilimia 60 ya mastaa wa nchi wanatoka Mbeya.
 
East or west home is best, kwetu kuzuri.
 
Pointiii akuna apoooo
 
Nakumbuka shule Muungano na mkuu wake Haule pembeni ya kanisa RC zamani na shule ya wanawake
 
Wa Mabatini na Simike,na wale waliosoma Mbeya day,nakumbuka miwa ya Mabatini sijui bado ipo?🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom