Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 90
nashukuru kwa ushauri wako na nazipokea baraka zako...Maisha ni kutafuta..Mungu akuongoze.
Watakuja kukupa msaada..ila hata ysipopata humu nenda ukifika tafuta kwa mwenyekiti wa kijiji ongea naye atakupa msaada.
Sebha agotongele.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya - kilyamatundu mbona Kama ushapotea maana najua kilyamatundu - Ni mkoa wa Rukwa wilaya ya Sumbawanga au majina yanafananaNatuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki
#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
ndio nimechanganya na sijui kuedit mkuuMbeya - kilyamatundu mbona Kama ushapotea maana najua kilyamatundu - Ni mkoa wa Rukwa wilaya ya Sumbawanga au majina yanafanana
kuna fursa gani ukoNatuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki
#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
Dah ushapotea kabla hujasafirindio nimechanganya na sijui kuedit mkuu
mgahawa na kununua mpungakuna fursa gani uko
mode watanisaidia kuedit headingDah ushapotea kabla hujasafiri
kama ni mpunga fursa kubwa sana,kikubwa nidhamu ya kazi na jamii iukutayo ukomgahawa na kununua mpunga
Karibu sana tule parachichi na ndizi za Tukuyu .Natuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki
#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
Fursa ni nyingi kikubwa bidii na kujituma ila mzunguko wa bado uko chini kiasi chake , mavuno ya mpunga kwa sasa , mavuno ya kahawa kwa sasa ,ila kuuza vipodozi ila vilivyo ruhusiwa maana wana mbeya hususan wamama ni watu wa kujilembaNatuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki
#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
uko huko mkuuFursa ni nyingi kikubwa bidii na kujituma ila mzunguko wa bado uko chini kiasi chake , mavuno ya mpunga kwa sasa , mavuno ya kahawa kwa sasa ,ila kuuza vipodozi ila vilivyo ruhusiwa maana wana mbeya hususan wamama ni watu wa kujilemba.
Yap mkuuuko huko mkuu