Mkiramussa
New Member
- Feb 2, 2019
- 3
- 3
Badili kwanza mwandiko wa TITLE na CONTENT havihusiani....Mimi nataka kuuliza hivi Moshi ipo Tanzania au nchi nyingine Maana toka tusajiliwe kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu lakini Vitambulisho hatuzioni Tukiwauliza NIDA hapa moshi wanasema tusubiri tutatangaziwa kama tulivyotangaziwa wakati wa kujiandikisha wamemaliza na majibu hayo tulipewa mwaka wa Jana mpaka leo hii hatujui hatima yetu na mahitaji ya vitambulisho hivyo yamekua yakiongezeka siku hadi siku Maana sasahivi hata laini ya mtu ya simu ikitokea hitilafu yoyote huwezi kuhihuhisha yani ku renewed sasa hayo si mateso tunashindwa kupata haki zetu Naomba wanaojua wahusika wakuu wa serekali wanao shughulika na NIDA watufikishie ujumbe
Tatizo la walio wengi hawajibu swali lililoulizwa.Majiji Kwa level iliyokamilika ni dar na mwanza kwingine ovyo tu
Jibu swali.Badili kwanza mwandiko wa TITLE na CONTENT havihusiani....
Suala la Mbeya kuwa jiji au Kijiji kikubwa ni jambo mtambuka... Kwa Tanzania na level zetu, Dar na Mwanza ndo zenye hadhi hiyo, huko kwingine ni vijiji vikubwa
Suala na NIDA ni tatizo la kitaifa ambalo sisi wananchi hata hatujui shida ni nini
Nyie mnafanana kabisa na vyombo vya habari vya magharibi,jinsi vinavyo ripoti habari kuhusu bara letu la Afrika,wanaripoti mapungufu tu Yale mazuri huwa hawayaoni. wajingamnatakiwa mjue mara ingine sehemu kufuzu kuitwa Jiji su urefu wa maghorofa,wanaangalia vigezo vingine kama idadi ya watu,makusanyo ya mapato ya setikali n.k punguzeni ushabiki uchwara.Naungana na mtoa mada ,mbeya ni kijiji kikubwa
Kwa wasioijua mbeya hapo ni mbeya mjiniView attachment 2190540View attachment 2190541View attachment 2190542View attachment 2190543
Mambo ya moshi mi nayajulia wapiTatizo la walio wengi hawajibu swali lililoumizwa.
Swali lipo kwenye title na siyo kwenye maelezo.
Ukiamua kuelezea la kwenye maelezo yake pia ni sawa.
Umeulizwa ni Jiji ama Kijiji Kikubwa sasa hayo mengine yanatoka wapi?
Mkuu usichokijua naipenda sana mbeya....ila ukweli lazima usemweNyie mnafanana kabisa na vyombo vya habari vya magharibi,jinsi vinavyo ripoti habari kuhusu bara letu la Afrika,wanaripoti mapungufu tu Yale mazuri huwa hawayaoni. wajingamnatakiwa mjue mara ingine sehemu kufuzu kuitwa Jiji su urefu wa maghorofa,wanaangalia vigezo vingine kama idadi ya watu,makusanyo ya mapato ya setikali n.k punguzeni ushabiki uchwara.
Kama hujui mambo ya Moshi kaa kimyaMambo ya moshi mi nayajulia wapi
Toa hapa haramu usinijibu kajibiwe na kitimoto wenzioKama hujui mambo ya Moshi kaa kimya
Asante sana Mteja wangu mkubwa wa Kitimoto, karibu tena siku nyingine!Toa hapa haramu usinijibu kajibiwe na kitimoto wenzio
Mi sio mlevi mwenzio was huko kwenu chunga sana mambo ya kijijini kwenu pambaneni mwenyewe nimesoma heading kuja content kuanza sijui moshi nikaona ovyo so kuwa Malini usikurupuke shenziAsante sana Mteja wangu mkubwa wa Kitimoto, karibu tena siku nyingine!
Bange na Uchiz mbaya sanaMi sio mlevi mwenzio was huko kwenu chunga sana mambo ya kijijini kwenu pambaneni mwenyewe nimesoma heading kuja content kuanza sijui moshi nikaona ovyo so kuwa Malini usikurupuke shenzi