Ihi ni thread ya mbeya city only
Let us sharing some photos of mbeya city
The aim not to compare city with other cities from tz
Na anza kutuma picha za mbeya city izi unarusiwa kutuma pia picha za city iwe magari ya kifari nyumba n.k
Oooooh miti imepungua sana inatisha, Mbeya saa za asubuhi ili kuwa inanukia maua na majani ya miti ya mikambokambo, jakaranda na eucalyptus, hadi raha.