Mbeya: Abiria wanusurika kifo baada ya Basi la New Force kugonga Malori matatu Mlima Nyoka

Mbeya: Abiria wanusurika kifo baada ya Basi la New Force kugonga Malori matatu Mlima Nyoka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma kugongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo.

Snapinst.app_485947262_18378899308139870_6986242542478829959_n_1080.jpg
Snapinst.app_484927861_18378899317139870_494471715022158021_n_1080.jpg
Picha: ITV Digital
 
Unafaham eneo la tukio barabara ilivyo ovyo? Barabara nzuri kutokea dar kwenda tunduma imeishia igawa,mpaka mwa njombe na Mbeya,kuanzia hapo na kwendelea Mbeya Ina barabara mbovu,mkoa mzima mpaka wilaya zake
Kwa kuwa barabara ni mbovu ni halali ajali kutokea na vifo na mali za watu kuharibika?
Usishabikie ungese jombaa!!
 
Dereva wa bus apasuliwe kende chap.
Ujinga mwingi sana road.
Na je abiria waliokuwemo hawakuwa na uwezo wa kukemea speed kabla halijatokea hili? Abiria huwa ni chanzo maana huwa hwasemi, abiria wakiwa wakali wakamsema deree huwa anaendesha mwendo salama kabisa nimeshaona
 
Unafaham eneo la tukio barabara ilivyo ovyo? Barabara nzuri kutokea dar kwenda tunduma imeishia igawa,mpaka mwa njombe na Mbeya,kuanzia hapo na kwendelea Mbeya Ina barabara mbovu,mkoa mzima mpaka wilaya zake
Tahadhari ya mwendesha chombo ndiyo ilitakiwa, ubaya wa barabara haimpi guarantee ya kutofuata sheria barabarani, na hapo lazima kuna chanzo cha ajali
 
Back
Top Bottom