Kuna shida nadhani, hata kama haitakuwa ya kifedha basi ya kiteknolojia. Kuna mkeka wangu wa jackpot Perfect12 uko pending tangu tarehe 2/9/2024, hawajautolea matokeo, iwe nimepata au nimepotezaNimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
Wape muda kidogo, wanachukuaga muda kufanya muamala. Wape masaa 24 au 48 ya siku za kazi, ukiona bado hawasomeki ndiyo uchukue hatua.Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
Hamna kampuni hapo mzeeWape muda kidogo, wanachukuaga muda kufanya muamala. Wape masaa 24 au 48 ya siku za kazi, ukiona bado hawasomeki ndiyo uchukue hatua.
Kama una vithibitisho vyote, sidhani kama kampuni halali iliyosajiliwa nchini inaweza kukataa kabisa kukulipa. Kama ni pesa ndefu chukua mwanasheria akasumbuane nao, wewe kaa kwa kutulia.Pole sana Kwa kutumia kampuni la matapeli najua utakua shabiki wa simba maana nyie wenye ushabiki wa simba na yanga ndio mnaobetiaga m bet na sport pesa kwakua ndio mnaanza kubet🤣🤣🤣🤣
Wanachelewa ila kulipa wanalipa. Wana vingi vya kupoteza kwa kufanya utapeli wa namna hiyoHamna kampuni hapo mzee
Hamna Cha kupoteza mzee unachekesha Kweli hiyo kampuni imemtapeli ndugu yangu mwezi wa pili mwaka huu million 6 na mikeka yake miwili yote ikafutwa siwezi bet kampuni ya aina hiyo mikeka inafutwa hiyo ni kampuni njaa ndio maana ipo tanzania tu na inaidhamini vitimu njaa vya Tanzania jinga sana hao jamaaWanachelewa ila kulipa wanalipa. Wana vingi vya kupoteza kwa kufanya utapeli wa namna hiyo
Alichukua hatua gani? Najua T&C zao zinawapa uhuru mkubwa wa kuamua lolote muda wowote kuhusu beti yako ila ukiangalia kwa umakini kampuni zote zina hivyo vipengele. Ninachotaka kujua alichukua hatua gani?Hamna Cha kupoteza mzee unachekesha Kweli hiyo kampuni iloshawahi mtapelo ndugu yangu million 6 na mikeka yake miwili yote ikafutwa siwezi bet kampuni ya aina hiyo mikeka inafutwa hiyo ni kampuni njaa ndio maana ipo tanzania tu
Wewe mgeni kwenye hii tasnia sio endelea na ubishi naona unaeleta ligi kama unaona waaminifu endelea kubeti m bet maana wateja ni mashabiki wa simba walioanza kubet baada ya kudhaminiwa na m betAlichukua hatua gani? Najua T&C zao zinawapa uhuru mkubwa wa kuamua lolote muda wowote kuhusu beti yako ila ukiangalia kwa umakini kampuni zote zina hivyo vipengele. Ninachotaka kujua alichukua hatua gani?
Mkuu jikite kwenye mada, hayo maswala ya nimeanza kubeti lini embu tuyaache. Ni kweli sibeti kila siku ila inawezekana mara ya kwanza mimi kubeti wewe ulikuwa haujui hata betting ni kitu gani. Jikite kwenye mada.Wewe mgeni kwenye hii tasnia sio endelea na ubishi naona unaeleta ligi kama unaona waaminifu endelea kubeti m bet maana wateja wao ni nyie mlioingia kwenye hii tasnia Jana wa hiyo timu ya simba walioanza kubet baada ya kudhaminiwa na m bet
Mada Gani mshamba wewe umeshaambiwa hao matapeli ukibisha endelea kubeti m bet mpaka na wewe wakufikie siku yakoMkuu jikite kwenye mada, hayo maswala ya nimeanza kubeti lini embu tuyaache. Ni kweli sibeti kila siku ila inawezekana mara ya kwanza mimi kubeti wewe ulikuwa haujui hata betting ni kitu gani. Jikite kwenye mada.
Nimekuwa mshamba tena? Ushamba unahusiana vipi na tunachoongelea hapa?Mada Gani mshamba wewe umeshaambiwa hao matapeli ukibisha endelea kubeti
Endelea kubetia m betNimekuwa mshamba tena?
Poa poa mwananguEndelea kubetia m bet
Sahihi kabisa. Vyombo vipo, aende huko kwanza. Ikishindikana huko ndiyo tutajua kweli katapeliwa.Ukiona wanazingua zaidi nenda kwa Mamlaka inayowasimamia ambayo nafikiri itakuwa ni ya Bahati nasibu