Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,973
- 168,469
celeb wa bongo movieHalafu huyu dogo mbona kama anatokea kwenye matukio mengi sana!
Halafu huyu dogo mbona kama anatokea kwenye matukio mengi sana!
hahaha!aisee inawezekana ila ukimwangalia kwa makini anafanana na yule anayekojolea msosi ukiwa jikoni ama wale waliokuwa wanasakata muziki kijijini!ushawahi muona wapi?...utakua umemkomfyuzi na yule mwingine anayefakamia nguna!