Mie pia huyo jamaa namfahamu toka akiwa kijana kule tabora alikuwa disco dancer mmoja hatari sana,wakati huo akiitea niger j,dah na jamaa alikula papuchi za wanafunzi balaa
Huyo mtangazaji wa TBC taifa,napenda utangazaji wake,kila kipindi anachotangaza nakipenda sana,hivi sasa anatangaza mkesha wa wahenga,nipo macho mpaka amalize.