Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 588
Nyie akina nani, manake LOWASSA ni CCMB na MBATIA ni NCCR, labda tusubiri CHADEMA nao watoe maoni yaoHaihitaji elimu kubwa kuelewa hapo wajanja tushaelewa wewe tuu
Hivi MBATIA anaongelea UKAWA upi?
Lowassa amesema utafiti ni oktoba, Mbati amesema wamefanya utafiti, hauoni tofauti?Huna hoja Kajipange upya,nini tofauti yake si wote wameukataa
wewe ni mmmmseee.....Ni baada ya kuongea na vyombo vya habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA juu ya uchaguzi mkuu. Mhe LOWASSA akihutubia kwenye mkutano wa jimbo la mtama aliukataa utafiti wa Twaweza nakusema kuwa yeye anasubiri mwamuzi tarehe 25/10/2015 na wala si vinginevyo... katika hali ya kushangaza Mwenyekiti mwenza wa ukawa James Mbatia leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA na kusema kuwa utafiti huo ni feki na wao wanaukawa wamefanya utafiti wa ndani na kugundua kuwa EDWARD LOWASSA atashinda kwa asilimia 74 sasa kwa mantiki hiyo tumuelewe nani kati ya Mbatia na mgombea wa UKAWA Ndugu Edward LowassaView attachment 290780
Katika wajinga, wewe ni mjinga wa uliyebaki shimoni maana hata akili ya kunyanyua mkono usaidiwe huna.
Utafiti unajibiwa kwa utafiti sindiyo mlivyo sema sasa povu lanini?Uloi nga mâché68;14104016 said:Matokeo hayo ya Mbatia ni kwa Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu. Kwa Nchi nzima CHADEMA hawana chao!
Ni baada ya kuongea na vyombo vya habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA juu ya uchaguzi mkuu. Mhe LOWASSA akihutubia kwenye mkutano wa jimbo la mtama aliukataa utafiti wa Twaweza nakusema kuwa yeye anasubiri mwamuzi tarehe 25/10/2015 na wala si vinginevyo... katika hali ya kushangaza Mwenyekiti mwenza wa ukawa James Mbatia leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utafiti wa TWAWEZA na kusema kuwa utafiti huo ni feki na wao wanaukawa wamefanya utafiti wa ndani na kugundua kuwa EDWARD LOWASSA atashinda kwa asilimia 74 sasa kwa mantiki hiyo tumuelewe nani kati ya Mbatia na mgombea wa UKAWA Ndugu Edward LowassaView attachment 290780

Nyie akina nani, manake LOWASSA ni CCMB na MBATIA ni NCCR, labda tusubiri CHADEMA nao watoe maoni yao