Yaani kipigo watakachopata UKAWA Jumapili hawatakiamini.Wanatufanya watanzania mbumbumbu sana.
Hivi wewe unamshabikia mnafki Mrema ,umewahi kujiuliza Mrema alileta tija gani kwenye bunge lilopita?
Leo kWenye Mkutano wa mgombea ubunge kwa tiketi Ya Nccr katika jimbo la vunjo, James mbatia ameshindwa kuhudhuria Mkutano wake uliofanyika uchira, kirua Vunjo kusini baada Ya polisi kumkatalia kutua na chopa kwa Kukosa kibali.
Kwenye Mkutano huo ambao ukihudhuria na watu wachache sana, (alihutubia mke wa mbatia) Mpaka kujiuliza Yale mafuriko pale Kiongozi wa ukawa anapohutubia yamekwenda wapi? Jibu, ni kwamba mbatia bila kutumia Mgongo wa Lowassa hapati watu. Mbatia amefanya mikutano miwili tu Vunjo, ule wa ufunguzi wa kampeni na ule wa lowassa alipokuja Vunjo. Mrema atamshinda vibaya mbatia kiasi ambacho atawaaibisha ukawa.View attachment 302147View attachment 302148View attachment 302149View attachment 302150
Kaleta maendeleo jimboni kwake au na hayo unataka kuyajua
Labda kipigo utakipata wewe kutoka kwa mkeo maana sisi watanzania tuneshaamua kuwachagua ukawa