Mbasha katoa kichambo

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,096
Reaction score
72,523
Mtumishi wa mungu sijui mungu gani anajua yeye ,,
kajua kunivunja mbavu aisee kampa huyu mwanamke kichambo cha haja cha kistaarabu nimecheka sana ila watu wengi kwenye kuzingatia kuandika ni shida eti Kabra ,,herufi kubwa zinachanganywa lo ,eti kama roboti jamanii nao wakome lo,,kweli kabisa huyu dada badala afanye mazoezi hata kiuno kionekane ye anahangaika mtandaoni,,jamani unene mbaya
Evelyn Salt Mzigua90 espy njoon mcheke
 
Tumbo na kiuno vipo kwenye same level
 
Kuachwa kubaya jaman zote hizo ni frustration za kumkosa Frola
 
Duu yaani mdada kama huyo bado ana mambo ya kutukana Mitandaoni?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…