Mr Journalist Member Joined Aug 16, 2025 Posts 35 Reaction score 73 Sep 8, 2026 #1 Kylian Mbappé amekabidhiwa tuzo ya mfungaji bora wa UEFA Champions League 2025/26 baada ya kufunga mabao 15. Kwa Mbappé, hii ni Golden Boot ya 16 katika career yake. 🥇WORLD CUP 🥇 Champions League 🥇 La Liga 🥇 Ligue 1 🥇 Coupe de France 🥇 Nations League Finals 16 Golden Boots. Na bado hajamaliza. Unadhani Golden Boot ya 17 itakuwa ya nani?
Kylian Mbappé amekabidhiwa tuzo ya mfungaji bora wa UEFA Champions League 2025/26 baada ya kufunga mabao 15. Kwa Mbappé, hii ni Golden Boot ya 16 katika career yake. 🥇WORLD CUP 🥇 Champions League 🥇 La Liga 🥇 Ligue 1 🥇 Coupe de France 🥇 Nations League Finals 16 Golden Boots. Na bado hajamaliza. Unadhani Golden Boot ya 17 itakuwa ya nani?
J Jhpiego Member Joined Mar 26, 2020 Posts 48 Reaction score 81 Sep 8, 2026 #2 Mr Journalist said: Champions League Click to expand... Mkuu Champion League ya mwaka Gani?
Mr Journalist Member Joined Aug 16, 2025 Posts 35 Reaction score 73 Sep 8, 2026 Thread starter #3 Jhpiego said: Mkuu Champion League ya mwaka Gani? Click to expand... 23/24
J Jhpiego Member Joined Mar 26, 2020 Posts 48 Reaction score 81 Sep 9, 2026 #4 Labda mie ndio sielewi, Champions league ni kombe Gani hilo? Make umeandika Uzi huu kwa maana kuja kuulizwa kuhusu hilo Kombe
Labda mie ndio sielewi, Champions league ni kombe Gani hilo? Make umeandika Uzi huu kwa maana kuja kuulizwa kuhusu hilo Kombe
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,644 Reaction score 27,617 Sep 9, 2026 #5 Na Jana kafungua ukurasa tayari japo kakosa magoli mengi sana alipaswa kupata hat trick ila kipa wa inter namuona akija barnebeu
Na Jana kafungua ukurasa tayari japo kakosa magoli mengi sana alipaswa kupata hat trick ila kipa wa inter namuona akija barnebeu