Kifuniko Member Joined May 20, 2011 Posts 97 Reaction score 18 Jul 11, 2014 #1 Wadau nina shida na mbao kwa ajili ya kumimina slab ya kijighorofa changu coverage kama mita 10 kwa 15, mbao hizo nazihitaji mwezi wa tisa
Wadau nina shida na mbao kwa ajili ya kumimina slab ya kijighorofa changu coverage kama mita 10 kwa 15, mbao hizo nazihitaji mwezi wa tisa
Kifuniko Member Joined May 20, 2011 Posts 97 Reaction score 18 Jul 11, 2014 Thread starter #2 wewe ofisi iko maeneo gani na bei zako zikoje let say mbao ya ft 12
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Jul 11, 2014 #3 Kifuniko unataka kuzitumia wapi hizo mbao?
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,453 Jul 12, 2014 #4 isdoramboa said: hapo ni 1*10 pine nitafute mr. kama site yako ipo karibu na ofisi yangu nitakupa ofa ya usafiri.na kama ni mbali tutachangia usafiri Click to expand... Mkuu kama una hitaji mbao kwa bei ya jumla nikuletee mbao za mti wa grivelia,niko lushoto.
isdoramboa said: hapo ni 1*10 pine nitafute mr. kama site yako ipo karibu na ofisi yangu nitakupa ofa ya usafiri.na kama ni mbali tutachangia usafiri Click to expand... Mkuu kama una hitaji mbao kwa bei ya jumla nikuletee mbao za mti wa grivelia,niko lushoto.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jul 12, 2014 #5 Hivi hakuna za kukodi???
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Jul 12, 2014 #6 Chinga One said: Mkuu kama una hitaji mbao kwa bei ya jumla nikuletee mbao za mti wa grivelia,niko lushoto. Click to expand... Bei ya jumla unauzaje?
Chinga One said: Mkuu kama una hitaji mbao kwa bei ya jumla nikuletee mbao za mti wa grivelia,niko lushoto. Click to expand... Bei ya jumla unauzaje?
I idorome Member Joined Apr 19, 2012 Posts 28 Reaction score 7 Jul 12, 2014 #7 nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei ZeMarcopolo said: Kifuniko unataka kuzitumia wapi hizo mbao? Click to expand...
nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei ZeMarcopolo said: Kifuniko unataka kuzitumia wapi hizo mbao? Click to expand...
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,453 Jul 12, 2014 #8 ZeMarcopolo said: Bei ya jumla unauzaje? Click to expand... Ina tegemea na mita mkuu.
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,453 Jul 14, 2014 #9 idorome said: nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei Click to expand... Nipm namba yako ya simu mkuu tufanye biashara.
idorome said: nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei Click to expand... Nipm namba yako ya simu mkuu tufanye biashara.
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,453 Jul 14, 2014 #10 ZeMarcopolo said: Bei ya jumla unauzaje? Click to expand... ZeMarcopolo mbao ya 1x10,2x6 na 1x8 kwa futi una nunuaje mkuu tufanye biashara. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ZeMarcopolo said: Bei ya jumla unauzaje? Click to expand... ZeMarcopolo mbao ya 1x10,2x6 na 1x8 kwa futi una nunuaje mkuu tufanye biashara.